cjaumia na hela hata kdog.but amewezaje kupangana na mtu kunifanyia hvyo.means anaweza hata kupanga kuniibia au hata kunidhulu ksa hela huko badae lyk kweny ndoa.
Hope mko salama wakuu...
Mi nina mpenzi wangu tulikuwa tunapendana sana but kwa sasa nahisi hanifai na hii yote ni kutokana hiki.
Nilipanga chumba somewhere, but kabla sijamaliza mwezi nikapata kazi Morogoro, ikabidi chumba tutafute mtu aingie aturudishie kodi iliyobaki mi nkaja kazini...
ivi wew unajitambua kweli,unaoa wew au dada zako ndo wanatumia hyo shepu ya huyo mchumba wako!kuna mawazo ya kuyasikiliza kutoka kwa ndug lakin mengne hayawahusu ,acha umbulula wew.
Natumain mu wazma wakuu,mi ni graduate jaman,nimetuma maombi bila mafanikio.lakin nina mtaj wa 100000,nawaza biashara ipi naweza kufanya iniinue kimaisha.ntashukuru kwa mawazo yenu jamani.
Mimi ni msichana wakuu.
Wakuu,kati ya kufanya biashara ya kuuza nguo vyuoni hapa Dar kwa mtaji wa laki moja,na kufanya kazi kwenye godauni kwa mshahara wa laki moja kipi ni chema hapo jamani?
Nishaurini wakuu.nahitaj msaada wenu.
Habari zenu wana JF
Jaman sijaelewa why inakuwa hivi wandugu.Yan nilipost hum ombi lang la kusaidiwa kazi yoyote cause maisha yamekuwa magumu jamani, lakini watu waliniahidi vingi halafu wananipotezea.
Jaman napata tabu msipende kuongopea wakati mtu anapata tabu. Jamani nisaidien kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.