Recent content by Love Child

  1. L

    Rais Magufuli kutembelea Arusha kwa njia ya barabara akitokea Dodoma

    Nadhani alikua anamaanisha msiba wa Mama Lucy Kibaki, the former first lady of Kenya, Kikwete hajaenda ila ameenda ubalozi wa Kenya hapa nchini kwa ajili ya salamu za maombolezo.
  2. L

    Kwanini Rais na Serikali wanawahadaa wafanyakazi kuhusu punguzo la kodi?

    Kuna haja ya wafanyakazi kupewa mnyambuliko wa haya makato ili hata wakiambiwa imepunguzwa asilimia 50 kwenye kodi fulani washangilie kimsingi na sio kushangilia tu kumbe hela iliyokatwa hata chips kavu hainunui.
  3. L

    Askofu wa Kamati ya ya Amani na Maadili: Dr. Dau apewe tuzo ya heshima na ujasiri

    Well said Masanja, nadhani watu wanatetea kwa sababu ya maslahi yao binafsi na sio ukweli. SIshangai kama media inaweza nunuliwa kumsafisha mtu sembuse kichwa kimoja tu. Tusubiri CAG alete ripoti bungeni tujue mbivu na mbichi kabisa, hata huyo mchungaji aangetunza kwanza kauli yake aje kuisema...
  4. L

    CAG aikana ripoti feki ya NSSF, asema ripoti itatolewa na Bunge Aprili 25

    From what i know kwa uelewa wangu huu mdogo ni kwamba report ya CAG ikiwa inaandaliwa huwa inapitia mambo yote ya taasisi husika ikiwemo hata figisufigisu zilizojitokeza njiani, halafu CAG huwa anazinote na kwenda kuzifanyia kazi hadi apate jibu linaloeleweka, sasa taarifa zinazosamnbaa ni...
  5. L

    Mimi domo zege nifundisheni kutongoza

    Hahahahhaahahahahahaaaa huko ndio uwanja wa mazoezi ukitoka hapo jaribu mwananfunzi ila usikamatwe, then tafuta wakubwa sasa.
Back
Top Bottom