Recent content by loupa

  1. loupa

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki Tabora

  2. loupa

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki Tabora

    Kuna sehemu inaitwa MAKIBO ni senta ilochangamka na mwingiliano wa watu toka sehemu mbalimbali
  3. loupa

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki Tabora

    Wakuu habari ya kazi viongozi Nina hamu ya kufanya biashara ya samaki katika mkoa wa tabora japo siyo hapo mjini "ni senta iliyo pembeni na Mji wa Tabora" Sasa kwa hapa tabora sijui nianzie wapi yani samaki wanapatikana wapi! Nikijua wanakopatikana na nikajua gharama za kuzipata ndo...
  4. loupa

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamani kwema Mimi nataka kujua naipataje hii option kwenye sportybet Maana nimeitafuta kwenye game mbalimbali lakini nimeikosa kabisa 1X2..10 minutes 1 up to 10 minutes
  5. loupa

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mm naomba kujua Kwa mfano mtu ameshinda milioni 100+ au 200 na zaid Anawezaje kutoa hiyo pesa? Njia gani zinatumika kutoa maana najua line ya simu haipokei zaidi ya m10.
  6. loupa

    JamiiForums Tanzania Mtoto mwaka mmoja na miezi tisa kukohoa sana nyakati za usiku

    Wakuu nina mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi tisa mwenye shida ya kukohoa sana, mda mwingine anakohoa hadi anatapika Na akianza kukohoa inachukua mda wa Hadi dk 30 mfululizo bila kupoa baada ya hapo analala. Ila akiamka hana tatizo na siku nzima anashinda vizuri mno. Naombeni ushauri...
  7. loupa

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Asante mkuu Nilikua nadhan hii option ni simple kumbe Kuna kaugumu fulani
  8. loupa

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu Mimi Nina shida hapa kwenye option ya 2/1 Ninachojua ni kwamba 1H away win na 2H home win Sasa mfano mechi imeenda 1H inakua 0:1 halafu 2H inakua 1:0 FT 1:1 hapo option ya 2/1 nakuwa imetoa?
  9. loupa

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Jaman mm Kuna shida sizioni picha zinazotupiwa humu Nifanye Nini kuziona
  10. loupa

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomba na hizo ODD 180
  11. loupa

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hapo fresh tayari
  12. loupa

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mbona inafeli hiyo code?
  13. loupa

    JamiiForums Tanzania Nataka kulipa Kodi Kwa kutumia AIRTELMONEY. NAFANYAJE?

    Wakuu mwenye kujua namna ya kulipa Kodi kupitia mtandao Kama Airtel money anusaidie
  14. loupa

    JamiiForums Tanzania Kuwasha ngozi baada ya kuoga

    Asante
  15. loupa

    JamiiForums Tanzania Kuwasha ngozi baada ya kuoga

    Wakuu habari za kazi Nina tatizo la kuwasha ngozi baada kuoga hali inayofanya nijikune Kwa muda wa takribani dk10 hivi ndo mwili una Kaa sawa. Naomba mnishauri kuondokana na hali hii. Kuoga kwangu ni mateso yaani.
Back
Top Bottom