Recent content by Lotiro Mlembea

  1. L

    Uendeshaji wa TAZARA sasa wakabidhiwa kwa Mchina

    Hivi Urafiki bado inaendeshwa na Wachina? Inafanya vizuri????
  2. L

    Biashara ya gesi ya kupikia

    Ndugu wadau, kwa yeyote anayehitaji kufanya biashara ya kuuza gesi za kupikia pamoja na vifaa vyake tuwasiliane. Nimekuwa nikifanya hii biashara kwa kipindi cha miaka mitano sasa nikimiliki maduka kadhaa hapa Dar es Salaam. Kuna duka moja dogo lililopo eneo la vingunguti ambapo mbali na gesi...
  3. L

    Dar es Salaam: TAZARA and Ubungo flyovers - Construction starts November 2015

    Pale TAZARA ni darasa ila Ubungo ni flyover.
  4. L

    Hizi ni kura za Lowassa

    Yaani nimecheka mpaka mbavu zinaniuma, hasa hiyo hatua ya kuficha kadi zao.
  5. L

    Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Ubungo Umeme Park lazima lishuke. Huu ni wakati wa kutekeleza kwa vitendo azma yake ya muda mrefu ya kulivunja jengo la TANESCO pale Ubungo.
  6. L

    Nimefanya Maamuzi Sahihi na Makini Niliyoahidi Takribani Saa 72 zilizopita, Naelekea ....

    Hongera sana ndugu, nina imani kubwa nawe. Kwa pamoja tutahakikisha lengo lako la kuelekea bungeni linatimia. ''enda uwokie mmeku''
  7. L

    Tamko la Wananchi juu ya Serikali

    Kwahiyo ni ruksa kumkashifu kiongozi mkuu wa kanisa kwa kisingizio cha kutumia Biblia Takatifu?
  8. L

    Katibu Mkuu CCT na TEC: Msimamo wetu ni serikali tatu bila kujali hotuba ya JK

    Kwahiyo CUF nao wametumwa na Waislamu?? Kwa kuwa serikali tatu pia ni msimamo wa CUF.
  9. L

    Tutakuwa wapumbavu tukiukataa utanganyika wetu wakati wajukuu wa mkoloni wanadai uzanzibari..

    Mtu yeyote anayedai Tanganyika mimi namuunga mkono kwa asilimia zote. Tupaze sauti tutasikika tu..
Back
Top Bottom