Kaka, huko kwenye hati ndo uozo kabisa. Kikubwa alichokifanya waziri wetu ni kuongeza tozo mbali mbali za malipo yanayohusika na ardhi, eti ili kupata fedha za kufidia/kujenga New Kigamboni City. Vipi haya mengine yanayotukwaza?. Kuna kitu kinaitwa Kigambini Development Authority (KDA) hata...
Ni jambo ambalo kwangu haliingii kichwani eti kupata kibali (Building Permit) cha kujenga hata nyumba ya kuishi (Residential House) hapa Dar es Salaam Tanzania ni mlolongo unaochukua zaidi ya miezi 7. Ni vema kuwa taasisi zinazohusika zikapata muda wa kuchanganua na kupitia maombi yote ya vibali...
Kwakweli hata mie huwa namshangaa sana CP Kova, habari na mabo anayoyaongea katika vyombo vya habari ni karibia na ujuha. Nakubali kabisa huwa anaacha hali ya maswali zaidi ya kukidhi kiu za watu na waandishi wa habari. Halafu, mie naona hizi ni muvi, likitokea tatizo, kila hatua inayofanyika...
Kuna taarifa za chini kwa chini kuwa serikali ya Tanzania imeridhia Marekani kujenga mtambo wa Nuclear nchini, je kuna yeyote mwenye taarifa na hili? Kuna watu kutoka Marekani wameanza research ya masuala kadhaa kuelekea huko. Hivi kweli Serikali inaweza kufanya uamuzi huu na kuufanya...
Ni vema kuangalia mfano au mifano ya waliondelea ili kujifunza na hatimae kufanya kama hao au kufanya zaidi ya hao. Lakini kwa nchi hii; ubinafsi wa viongozi wetu, uvivu wa kufikiri zaidi ya macho yanapoona na siasa zilizotawala kila kona, kamwe hatutoweza kufikia mji kama wa Singapore. Plan...
Kweli sasa hii serikali imezidi kuiba hata mchana kweupe, kuacha matatizo mengi yanayokabili hii nchi wameona wakanunue ardhi kwaajili ya kuzika viongozi?, ambao wana familia zao, makazi yao mijini na vijijini kwao?!. Kuna kiongozi gani amewahi kukosa pa kuzikwa?. Jamaa ni mbulula lakini sie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.