Recent content by LORIN

  1. L

    Wafanyakazi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wafungiwa nje

    Hahaaa mkuu siamini kama ni LIZABON labda na yeye anaigiza tumpe muda.
  2. L

    Freeman Mbowe anazidi kuipaisha CHADEMA

    Pokea LIKE mkuu
  3. L

    Rais Mstaafu Kikwete amtambulisha Makamu wa Rais Mama Suluhu kwa Rais wa China

    Cjui atakua anatumia kodi zetu???? @ VASCO
  4. L

    Kweli Tanzania inahitaji Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya?

    Huna tofauti na Nepi wa fisiem
  5. L

    Kweli Tanzania inahitaji Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya?

    Sijui utaacha lini utoto. Unakera sana
  6. L

    Mtazamo wangu kuhusu wabunge wa UKAWA Kuzomea bungeni

    Acha ushabiki wa kijinga. Mambo ya Zanzibar usiyachukulie kirahisi kiasi hicho kisa buku 7 unazopewa. Big up Ukawa.
  7. L

    Mbowe, hivi umeenda bungeni kusaidia wapiga kura wako au wa Z'bar?

    Mtoa mada hili jukwa halikufai kabisa. Nadhani una upungufu wa akili.
  8. L

    WAPO Radio watuhumiwa "kununuliwa"

    Nawapongeza sana wachangiaji wa hii radio ktk kipindi cha meza ua busara. Mbogo ni mtu mzuri sana na anaendesha vizuri kipindi. Ila hawa maaskofu siwaelewi kabisa Rwezaura na Gamanywa. Wachangiaji Salvatore, Baba Ngoyai, Mzee hamis, Tilalila na wengine wengi hongereni sana kwa michango mizuri.
  9. L

    Dar Tunasema: Ongea na Home Lowassa Awe Rais

    Kitufe cha like sikioni mkuu. "LIKE"
  10. L

    EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

    Mpigie dada mmoja alinichorea shule hakika hutajuta, ni mkali hakika. Namba yake 0713816000
  11. L

    Lori limeanguka Kimara na kusababisha foleni kubwa Barabara ya Morogoro

    Wokitoki mie nipo stop over tangia saa 11 nilikua kituoni mbezi mwisho. Duh hii hatari sana
  12. L

    Hivi mpaka mpate uraia pacha ndio msaidie nchi yenu?

    Sioni sababu ya wao kudai uraia pacha. Wabaki na uraia wa nchi moja tu. Wameikana nchi yetu hatuwahitaji.
Back
Top Bottom