Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Makamanda hodi. Lowasa atasimama wabaya wake wagune, wakejeli Mungu kisha teua. Hivi huyu anayetaka kutuona as wajinga kwa kumpenda Lowasa basis tutakuwa mazezeta tukilazimishwa kumpenda Magufuli. Watanzania ni hawa hawa waliopiga kura za kishhindo kwa Kikwete CCM kama hujapangwa na kocha sugua benchi mazoezi kwa sana mpaka ufike kiwango.Sawasawa?
 
Si mnajua kampeni manager wa komeo ni chemba!....Redbrigade fanyeni kazi yenu.....Arusha inachukiwa na magamba kama hamjui....
 
Usalama muhimu. Red brigades na blue army chukueni tahadhari zote. Arusha,Arusha,Arusha.. Nikikumbuka ugaidi ulotabiriwa na Mwigulu kipindi kile cha uchaguzi mdogo wa madiwani,naishiwa nguvu.
 
Back
Top Bottom