Uzuri ni kwamba we mwenyewe unaongea lakini ukweli unaujua kuwa Lissu hawezi kuwa rais hata kidogo.
Labda ni ubishi tu ambao hauna maana yoyote na kukosa weledi wa kuyajua mambo
Una uhakika na unachoongea!?, Nyie Hali mnaiona kabisa media zinamuunga mkono, halafu mnatoa maneno yakujifariji!. Chadomo na Lissu subirini huu si muda mwafaka kwenu hata kidogo Jamani mtabaki kujaza threads za kumpinga Magufuli lakini ukweli ni kwamba Magufuli Hana mpinzani.
Mtanzania gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.