Hicho cheti chenyewe cha ndoa cha serikali amekipata kwa udanganyifu kwa sababu hakuna afisa wa serikali nchi hii mwenye akili timamu anayeweza akakubali kukufungisha ndoa nyingine huku akiwa anajua kuwa una ndoa nyingine ya kanisani ambayo haijavunjwa. Wafungisha ndoa kule bomani wanajua kuwa...
Mkuu kuwa mzalendo achana na rushwa lipa hicho kiasi walichokuambia, waombe wakupe control number ya malipo ulipie.
Pia watu wasikudanganye kwamba mahakamani utatoboa ni waongo hautotoboa. Ninaongea kutokana uzoefu nimefanya sheria katika sheria za ndoa na familia. Naongea kama wakili huwezi...
Just wondering na kutaka kujifunza kupitia wazoefu wa hili swala huwa inakuwaje?. Je mwanaume unajisikiaje ukifikia msindo/ kileleni kupitia msisimko wa tezi kibofu(prostate).
Is it worth trying? Au tuachane nayo?. Ningefurahi kupata majibu kutoka kwa wale wazoefu waliowahi kufanya kwa lengo la...
YAFUATAYO NI MAJIBU YA AI:
"... Hakuna athari ya moja kwa moja ya kisheria ndani ya Tanzania kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akikutwa na hatia ya uhaini nchini huku akishinda Tuzo ya Sakharov ya Bunge la Ulaya. Mahakama za Tanzania hufanya uamuzi kwa mujibu wa sheria za nchi, na tuzo...
Misaada ilishakata kitambo sana kwenye bajeti na mambo yanaenda, labda watufungie mikopo maana hiyo ndiyo tunakopa kwa kasi ya ajabu kufidia nakisi ya bajeti
Cha kujutia hapo ni kuamua kutopata watoto hapo ndiyo shida ilipo ila kuhusu kuoa hata angeoa ndoa zinazodumu mpaka miaka 75 ni chache. Hivyo upo uwezekano hata angeoa wangekuwa washatalakiana cha muhimu angekuwa na watoto na wajukuu wa kumkumbuku.
Majibu ya AI kuhusu mapenzi ya jinsia moja:
Kulingana na makubaliano makubwa ya kisayansi na mashirika ya afya duniani kama vile Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO), mwelekeo wa kijinsia (pamoja na mapenzi ya jinsia moja) sio jambo la hiari au chaguo la mtu binafsi. Wataalamu wa afya ya akili na...
Mnaolalamikia mods mnalalamika kitu gani? Mbona uzi una updates zote za kesi kuanzia mwanzo mpaka mwisho?. Ni mara ngapi mnaanzisha nyuzi na wengine za kwetu zinaunganishwa kwenu?. Haiwezekani kila mtu akawa na uzi wake kwenye jambo moja. Ukiona uzi wako umeunganishwa wewe changia tu kama...
Nimesikiliza mahojiano ya mwenyekiti wa BAVICHA Wakili Mahinyila akiwa Wasafi fm kipindi cha jana na leo nimefadhaishwa sana. Kijana ameshindwa kabisa kuelezea sera za chadema. Najiuliza amepatwa na nini? Hakujiandaa au uwezo ndiyo shida...
Nikifahamu kuwa vikao vya Jumuiya ya madola vinaanza kesho nchini Marekani nimemuuliza AI swali kuwa:
SWALI:
Nini kitaipata Tanzania ikiwa imekaidi maazimio ya Jumuiya ya madola ya kuitaka Tanzania imuachie Tundu Lissu?
MAJIBU YA AI:
Ikiwa serikali ya Tanzania itakaidi kabisa agizo la...
Lissu ana haki ya kuonana na mashahidi wake kabla ya kesi ili wapange mikakati ya kesi yao. Hilo linapaswa kutokea kabla ya kuanza kutoa ushahidi kama ilivyokuwa kwa Heche, Mnyika etc.
Hivyo mahakama iweke utaratibu kwa mashahidi watatu waliobaki yaani CDF, DCI na IGP mshitakiwa aweze kuonana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.