Recent content by LORAINNE

  1. L

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards

    Mwisho wa siku lazima wagundue ni sisi mashabaki wao tunaotumia muda wetu kuwapugia kura na sio clouds,kitendo cha huyo jide kususa kuja kuchukua tuzo,ni dharau kubwa kwa mashabiki,otherwise tuache kumpigia kura kipindi kingine na kutokusuport kazi zake,maana wasanii wengi wanajisahau siku izi...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Peter wa p square aonyesha nyeti zake

    hapa angekuwa diamond sasaa...ingekuwa inaenda page ya 15 na mitusi ya hajaa...ama kweli nabii hakubaliki kwao..
  3. L

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Mwana FA

    Happy birthday kwa Baba Maleeka.....
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mganga Wa Diamond Platinumz Yuko Matatani

    bila diamond story hainogi ee?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Sir Nature Amdiss Diamond Mchana Kweupe

    mtamtukanaa sana domo...mwenzenu matusi kwake ndo chai yake,lunch yake na dinner yake....wakati mnawaza matusi mapya...mwenzenu anawaza deal mpyaa..
  6. L

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Diamond washika number moja kwenye radio kubwa Nigeria

    Be an encourager. The world has plenty of critics already....
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Diamond washika number moja kwenye radio kubwa Nigeria

    and you haters.... u gonna always hate.....
  8. L

    JamiiForums Tanzania Vazi La Diamond Platinumz Lililochangia Kupigwa Marufuku Video Ya Dully Sykes

    Duuh...bila Domo hamna habari nyingine?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Sir Nature Amdiss Diamond Mchana Kweupe

    ee Mungu nakuomba uendelee kumnyanyua Diamond..azidi kukua zaidi na zaidi..asirudi nyuma kamwe..hata wale wanaomtakia mabaya...waendelee kushuhudia mafanikio yake..Amen!!!
  10. L

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    Ndo maana ya demokrasia..hata kama wameendea njaa..ni juu yao pia..haikuhusu..wee baki huko huko chadema na maisha yako...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Jengo la Tigo Makao makuu (Derm House) lipo hatarini kudondoka

    kumbeee.....doh...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi Vs Kisa Zimba(KiKi)

    Mamaa ya bhokenzo(mange) ni shiidaahh...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Salama Jabir na Mkasi

    uko vizuri sana...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Chief Kiumbe: Prado mpya Diamond aliyopiga nayo picha ni yangu si yeke

    samahanii...naauliza..huyu chief kiumbe si nimesikia anajipumzisha kwa penny?and if so..hili swala la diamond kutumia gari lake tena..imekuaje?najaribu kuunganisha hizi dots..sipati ramani...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Range rover ya Lady Jaydee

    dah...
Back
Top Bottom