Recent content by Loperoxy

  1. Loperoxy

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Tanzania ni Wazuri, ila Elizabeth Michael Lulu ni Mrembo kuliko wote nchini

    Ndio maana nimeanza kupitisha kamchango ka kupata vijihela vya kumtafuta wakili wa maana kusimamia kesi ya Lulu.
  2. Loperoxy

    JamiiForums Tanzania Mahari ya Sanchi yapanda kutoka million 10 mpaka million 20

    Spiece kama hizi nazifananisha na disposable paper plates. Kelele nyingii mwanzoni, baada ya muda anapanga foleni makanisani na kwa waganga kutafuta mume. Mwanamke weka mazingira ya kuolewa, weka mazingira magumu (utadhani ina TV ndani) uje ulie baadae kwamba huna bahati...
  3. Loperoxy

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Vyombo vyetu vya usalama kujichukulia sheria mkononi

    Ndio maana kuna kipindi akiuawa askari, raia wengine wanacheka na kisha serikali inawakamata. Mfano lile tukio la Staki Shari. Hii ni moja ya sababu inayochochea ugomvi kati ya raia na askari. Wanakera zaidi pale ambapo wanakuja kumkamata mtu. Hata kama amekubali kukamatwa, atarambwa tu walau...
  4. Loperoxy

    JamiiForums Tanzania Leo nimekubali kweli maishani hatulingani

    Ipo haja ya kufundisha namna bora ya kupiga picha!! Kwa upigaji huo wa picha utasababisha watu wavunjike shingo. Au ndio kuchanganyikiwa kwenyewe...
  5. Loperoxy

    JamiiForums Tanzania PICHA: Sura mbalimbali za wanawake kabla, wakati na baada ya kufika mshindo (orgasm)

    Baada ya hapo (kukojoa) ulete na mada ya kunya kabisa!!
Back
Top Bottom