Recent content by lonka

  1. L

    JamiiForums Tanzania Vibahasha vya khaki vinavyozuia harakati na kuua ndoto za vijana

    wa kupuuzwa ni wewe
  2. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM yazidi kumwandama Mbowe!

    ni kweli boss wewe tu ndio maarufu nchi hii
  3. L

    JamiiForums Tanzania Maaskofu 32 Katoliki wataka Tume ya Warioba iheshimiwe

    si kazi yao kuhoji takwimu za tume, kazi yao ni kuheshimu maoni ya wananchi waliyotoa wakati wa ukusanyaji wa maoni ya katiba mpya
  4. L

    JamiiForums Tanzania Maaskofu 32 Katoliki wataka Tume ya Warioba iheshimiwe

    Maneno yako yanaonesha jinsi ulivyompuuzi wewe nani ambao hamhitaji sadaka unajua nini maana ya sadaka.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Maaskofu 32 Katoliki wataka Tume ya Warioba iheshimiwe

    Hakika wewe ni wakupuuzwa
  6. L

    JamiiForums Tanzania Maaskofu 32 Katoliki wataka Tume ya Warioba iheshimiwe

    wao ni watz kama wewe hawezi kuacha kuzungumzia siasa anayepotosha taifa ni wewe unayepigania maslahi yako binafsi
  7. L

    JamiiForums Tanzania Maaskofu 32 Katoliki wataka Tume ya Warioba iheshimiwe

    Ndg yangu heshimu imani ya wengine tafadhali sana
  8. L

    JamiiForums Tanzania Maaskofu 32 Katoliki wataka Tume ya Warioba iheshimiwe

    Acha kudharau imani ya wengine suala la lakupoteza sifa siyo mada hapa wao wametoa msimamo wa kanisa kuhusu katiba hayo mengine ni utashi wako pamoja na chuki binafsi.
  9. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuzindua umoja wa wanafunzi Wa Shule Za sekondari ambao Ni Wafuasi Wa CHADEMA

    soma vizuri ndg yangu au nikusaidie ni umoja wa wanafunzi wa shule za sekondari.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

    kwani zitto ni mungu, chadema ni taasisi huyo unayemwabudu wewe ni binadamu iko siku hatakuwepo duniani lakini cdm itakuwepo ikiongozwa na watu wengine.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

    mbona kila siku mnamsema mbowe kuwa hana elimu sasa leo mmepatikana mnaleta visingizio kibao.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Dr. Bujara kuongea na vyombo vya habari kesho.

    kutoka kwa mafisadi
  13. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kwa hali hii bado mna maono feki ya kuishika dola mwaka 2015!

    inaonesha ni jin si gani ulivyombaguzi hivi wa kaskazini si watanzania ,hawana haki kama wa kanda nyingine kwa mtazamo wako MWANZA ,SHINYANGA ,MARA ,MBEYA nako ni kaskazini ,ukiendelea na mawazo yako hayo ya kipuuzi huko tuendako hakika tanzania haitakuwa salama.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya Vichaa duniani na kuongezeka kwa matukio ya vurugu nchini

    pole sana kweli wewe ni mtupu kichwani unafikiri tuko anazungumzia saikologia au magonjwa ya akili
  15. L

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Sijamuoa mtoto wa rais Kikwete, sipo bungeni kwa ajili ya kupigana ngumi

    kauri ndo nini au unamaanisha kauli Ona ulivyo mtupu unashindwa kutofautisha kati ya kauli na kauri we endelea kuwa mtumwa wa chama cha mafisadi.
Back
Top Bottom