Recent content by longT

  1. L

    Nitawezaje ku-draw hela kwenye account ya Paypal

    Google website tulizozitajaa ukoo juu.. amnaa njia rahis zaid ya kuhustle kaka
  2. L

    Nitawezaje ku-draw hela kwenye account ya Paypal

    Alaf kuna garama juu kidogoo. Ila mi siitumii sanaa paypal to payoneer. . Elaa kutokaa kwenye freelance kama elance na fiverr zinatumwaa straight to payoneer account. So paypal itakuaa ya mimi kununulia vituu tuu akat hii ni ya kaz
  3. L

    Nitawezaje ku-draw hela kwenye account ya Paypal

    Inakubalii... manaa hii ni account ya usa.. so just google send money from PayPal to payoneer... mi nilifuata steps fresh. .. infact naweza kutengeneza account ya paypal kwa hii card... so again yes
  4. L

    Nitawezaje ku-draw hela kwenye account ya Paypal

    Kuna namba nne mwisho mbili mwanzoo pkus ujue mwez na tarehe ya kuxpire plus full name.. on top ya 3numbers on the back.. uyo mtu wa kugess zote izoo atakua god. Anyway nilitakaa kushukuru.. sikujua hii service ipoo n through here nimepewaa maujanjaa
  5. L

    Nitawezaje ku-draw hela kwenye account ya Paypal

    Azionekan zotee plus no name n expr dates.. nilikua makin man
  6. L

    Nitawezaje ku-draw hela kwenye account ya Paypal

    Wakubwaa December 26 niliwezaa kupataa kad ya payoneer ambayo naweza kushusha mpunga from crdb, nbc na bank yoyote yenye master card service. Shukran zanguu nyingii kwa msaada wenu
  7. L

    Nitawezaje ku-draw hela kwenye account ya Paypal

    yaah its verified.. post za kuchekii verified zipo apa apaa.. inawweza chelewaa but within six days nathan utakua umeipataa
  8. L

    Online CV (website ya C.V yako)

    Tukijua kwambaa cv ni kitu cha kwanzaa mwajirii anaangalia kablaa ajaamua kukuita kwenye interview, inatubid tuifanye iwe bora na ya utofauti ili kupataa uzito wakutosha.. kwa njia hii tumeamua kutengeneza online cv ambayo utawekaa link kwenye application yako ili kuongeza uzito huo...
  9. L

    Nitawezaje ku-draw hela kwenye account ya Paypal

    Try to google terms zilizotumikaa na website then utaelewaaa...
  10. L

    Nitawezaje ku-draw hela kwenye account ya Paypal

    But if you wabt to try.. fo with Fiverr.com.. wao unalipwa dola 5 kwa any service. . So buyers hawaogopii kujaribuu na new guy.. utapooanza kazi nne au tano za mwanzoo ni shidaa cuz huwez kutengenezaa web kwa bei hiyoo.. ila take it as doing it for free.. baada yapoo utakuaa unapokeaa watu...
  11. L

    Nitawezaje ku-draw hela kwenye account ya Paypal

    Daah na typo kichizii sijazoeaa smartphone zetuu izii nisamehen kwa hili
  12. L

    Nitawezaje ku-draw hela kwenye account ya Paypal

    Inawezaa ukawaa ryt.. ilaa paypal bfo hutoii apaa so far option uliyonayo ni kuchukua ela paypal kuzituma kwa rafiki akurumie kwa westw union.. process yote iyo ni ndefu na price itakuaa juu. Ila as I say juzii tuu ndo nimejuaa kuhusu hii kitu.. so myb baada ya kunzaa kutumiaa ntawaambia...
  13. L

    Nitawezaje ku-draw hela kwenye account ya Paypal

    Yenyewe ni boraa kaa unalipwaa onlinee.. au unalipaa online watu.. ambao unajuaa specfc acxounts zao.. so far najua ivyoo paypal nadhan ni best kwa kununuaa vitu online.. ESPC kwa watu usio wajuaa soo kwa ifahamu wanguu inabidii ujuee unafanyiaa nin.. elance na fiverr wote wanaa partnership na...
  14. L

    Nitawezaje ku-draw hela kwenye account ya Paypal

    Mi nafanyaa cms za joomla na WordPress. . At middle quality I can say kwa 100$ per web.. so so far naweza fanyaa web mbili tuu kwa wikii. . Web nazotumiaa ni elance na fiverr.. freelander nilitry nkashindwaa lot of competition
Back
Top Bottom