Uwezekano upo. Ila ni mdogo Sana Sana.
Wadada wa Sasa wanaangalia masilahi zaidi.
Hawezi kumuuza Mchaina KWA njemba zake Isipokuwa Mchaina kazingua kupitia MAELEZO.
Bi dada akigungua Mchaina anamlipa vizuri KWA uhakika hawezi kuita njemba hata Moja.
Ila tahadhari ni nzuri.
Warusi na Wachina hawatumii Kiingereza . Je hawajui Kemia na Fizikia?
JF NI media ya kuelimishana. Kujua kiingereza ni vizuri.
Kuna sehemu bila kiingereza utapata shida. But English si KILa kitu.
Mfano. Wageni wako wangekuwa Wachina au Warusi au Taliano nk. MANTIKI ya kiingereza ingekuwa wapi?
1. Kiingereza ni sawa na Kikurya tu. Au Lugha nyingine. Kutegemeana. Na upo Wapi na unafanya nini. Duniani kuna nchi na sehemu nyingi mhimu hawaongei kiingereza.
2. Omba Wamarekani wako wakupekeke Angalau kuanzia Dubai kwenda mbele , utaelewa kiingereza ni lugha Kama lugha zingine.
3. Kwa...
1. Pole Sana mkuu.
2. Si vema KUFANYANA na usiyempenda.
3. Ikilazimika KUFANYANA na usiyempenda fikiria na chukua tahadhari ya mimba na magonjwa ya zinaa.
Hadi hapo tambua kosa ni lako.
Kwa upande mwingine mwenzio alijipanga vizuri zaidi YAKO.
1. Most likely aliitaka mimba YAKO. Kwako ni...
Acha roho mbaya. Kwani ww una cv nzuri zaidi ya Dr Janabi?
Akipigiwa debe unapata hasara GANI?
Anachokusudiwa kushindania akiachwa yeye wewe ni Bora zaidi yake?
Black skin sijui nani katuloga?
Ukiona mwenzio ana dalili ya kufanikiwa wewe roho inakuuma.
Una faidika nini na hiyo roho mbaya ⁉️
Kuachwa ni Jambo zuri ukilinganishwa na kufanyiwa maigizo na unafiki na kuitwa mpumbafu mbele ya rafiki zake.
Kwa kifupi AMETOA nafasi Ili aliye Bora zaidi yake aingie. At all Kama na wewe ni Bora .
Ushauri.
1. Shukuru MUNGU.
2. Jitathimini Kama kweli kuna thamani uliongeza kwake.
3. Aliye...
Mke wa mtu ongea naye serious business. Umempotezea concentration ya ndoa yake. Anakusikiliza wewe zaidi ya Mme wake. Hadi anekufaya ya option.
Sasa umeharibi ndoa ya watu.
Na wewe utaharibiwa.
Aidha akija kwako ata chart na mwanaume mwingine. Na atondoka kwako Kama alivyoondoka KWA Mme wake...
Sharti mojawapo uwe na Masters degree . Kuna wenye Masters degree lakini sifa nyingine za uongozi hawana.
Kuna wasio na Masters degree lakini Wana sifa nyingine za uongozi wanazo.
Hivyo kuna changamoto nyingi za kuamua sahihi nani awe mkuu wa idara yenu
Wakati mwingine anatafutwa toka mbali...
Mtoa andiko umeandika ukweli . Wengi wameshindwa kukuelewa sababu ni wahanga na hawajijui.
Vitabu vikuu vya Mafundisho ya Imani, Biblia na Quran vinaeleza kwa upana kuhusu laana pamoja na uchawi.
Aidha kwenye maisha ya kawaida tumefundishwa kuwa wangalifu wa Maneno tunayotumia kuhusu watu...
Mke akifiwa na Mama yake ina maana Mme amefiwa na Mama mkwe na Watoto wamefiwa na Bibi.
Mara,nyingi Mke akifiwa na Mama anaelemewa na majonzi. Automatically Mme anakuwa na jukumu llisilokwepeka la kuhusuka na msibani kwa Mengi na si ruhusa tu.
MMe anapaswa kuchukua Majukumu ya msibani kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.