Mshana Jr, Naomba ushauri wako nina gari aina ya Nissan primera ya UK hii gari hili gari linatoa alama ya chk engine kwenye dashboard hali ukiliwasha injini inakuwa haina nguvu halafu linapiga brake fire na miss nyingiii, nimewatafuta mafundi wa umeme lakini wengi wameshindwa, unaweza...
Hiyo itakuwa scabbies nenda duka la dawa tafuta lotion ya scabbies, halafu tiba nyingine ni usafi fua nguo kila siku na kupiga pasi kila siku abadilishe mashuka
Hapa hakuna Majungu wala nini wafanyabiashara hapa wanataka competitive price ili waende sawa, miaka ya nyuma Msasani beach club kulikuwa na mambo kama haya, wenye mabaa walilalamika mpaka ikaamriwa Msasani beach club wauze kwa bei ya ushindani kama za kwenye mabaa ya kawaida
Kufungua Bwalo la jeshi uraiani ni kuwaumiza wafanyabiashara wengine ambao wanalipa TRA na Leseni. Hilo bwalo linatakiwa kubaki kambini.
Au ni ujanja wa kuwekeza kwenye biashara zenu binafsi?
Maana bia zinaletwa lakini baada ya siku mbili vinywaji vyote vimeisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.