Recent content by lolyz

  1. lolyz

    JamiiForums Tanzania Uchawi upo, wewe usiyeamini soma hapa

    Nimejifunza kitu...hiyo sehem ya 2 vp??
  2. lolyz

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuwa wakala wa Vinywaji vya Azam

    Kwani kuwa wakala wao hawana sifa na vigezo ambavyo vipo openly?yani labda mtaji kiasi fulani,eneo ambalo lina muingiliano(busy)...sitaki kuamini kama kweli imani ndio msingi labda kama wanatoa product zao bure kama sadaka,ila nashauri tusiwe wepesi kuyaongelea tusiyoyajua..sababu mm ni...
  3. lolyz

    JamiiForums Tanzania Riba imepungua CRDB nataka nitumie fursa hii

    Duuh kwa hayo marejesho unayolipa yanafanya ukatwe 98% ya mkopo wako, simply fanya 220,000*72(miezi hiyo)utapata huo ukweli mchungu
  4. lolyz

    JamiiForums Tanzania Mahindi kilo 100 inaweza kuzalisha sembe kilo ngapi?

    Na atapata gunia ngapi za pumba?
  5. lolyz

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Samaki vs Maziwa

    Hongera &big up sana..nakushauri usiishie kwenye kahawa pekee kuna watu wengine hawatumii kahawa kwaajili ya hali ya afya nimeona kwenye shelf kuna cocoa zipe majina yatakayomvutia mlaji ie Hot chocolate kwa wadada wadada utawavutia... Swala la samaki au mtindi hapo inategemea na muda wako wa...
  6. lolyz

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine ya selcom

    Oky
  7. lolyz

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine ya selcom

    hiyo mashine ya selcom inafanya kazi gani mkuu? ina faida gani?nafikiri sio kila mtu ana uelewa nayo..pia nini tofauti ya hiyo bei ya used vs mpya?
  8. lolyz

    JamiiForums Tanzania Wakulima waharibu soko la Korosho kwa kuchanganya na mawe mkoani Mtwara

    Ni kweli haya mambo yapo..ila najiuliza shida inaanzia wapi kwa mlaji au kwa mkulim a? mfano nilienda kununua nafaka soko la Tandale sio siku nyingi sana kipindi hikihiki cha mavuno nilichokiona ilibidi nijiongeze...bei ya mahindi ya kwetu ilikua 600 kwa kilo na ya zambia ilikua 1,000/ kwa kilo...
  9. lolyz

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kuzalisha juice (Natural juice), naomba mawazo yenu

    Ni wazo zuri ..zingatia usafi sehemu yako ya biashara, kingine nionavyo kwa hali ya sasa ukipata frem usitegemee kuuza juice peke yake ,weka chai ya rangi na chai ya maziwa,maziwa fresh na hivyo vitafunio ulivyoshauriwa,kwa maana hiyo unaanza asubuhi mapema wa kubeba take away wanaoenda...
  10. lolyz

    JamiiForums Tanzania Nauza nyumba ya biashara kerege Tsh 28 m

    Tatizo nipo town kibaruani,nilipiga pic wkt wa jua kali na rangi ni white..ntatafuta namna Sent from my HTC Desire 620G dual sim using JamiiForums mobile app
  11. lolyz

    JamiiForums Tanzania Nauza nyumba ya biashara kerege Tsh 28 m

    20*40 mkuu Sent from my HTC Desire 620G dual sim using JamiiForums mobile app
  12. lolyz

    JamiiForums Tanzania Nauza nyumba ya biashara kerege Tsh 28 m

    Sent from my HTC Desire 620G dual sim using JamiiForums mobile app
  13. lolyz

    JamiiForums Tanzania Nauza nyumba ya biashara kerege Tsh 28 m

    Kerege matumbi,unaingia ndani 1.5km ...njia ya kwenda Bagamoyo...ukitoka bunju unaingia kerege ,bei ni 28m maongezi yapo Sent from my HTC Desire 620G dual sim using JamiiForums mobile app
  14. lolyz

    JamiiForums Tanzania Nauza nyumba ya biashara kerege Tsh 28 m

    Sent from my HTC Desire 620G dual sim using JamiiForums mobile app
  15. lolyz

    JamiiForums Tanzania Nauza nyumba ya biashara kerege Tsh 28 m

    Ina frem 3 bado ni mpya ina 3phase umeme,parking,3bathrooms. Mobile:0767700292 serious buyers only Kerege(Bagamoyo rd) ni eneo linalofuata baada ya kutoka Bunju,na Mapinga Sent from my HTC Desire 620G dual sim using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom