Makanisa hadi leo hawajaweza kuifundisha bibilia kwa usahihi tokea kitabu cha mwanzo hadi ufunuo, kwahiyo wakristo wanasoma tuu kitabu wasichokielewa kinawachanganya lakini hawana namna.
Alieumba dunia na wanadamu yupo ila jina lake sio Mungu, ninaamini katika uwepo wa muumbaji ni kweli yupo...
Kama una namna nyingine ya kuamini wewe amini tuu.. lakini story zote zilizoandikwa bibiliani zipo kwenye maisha yetu live na tunaziona sasa kama wewe unaona nizakutungwa sawa
Sio watu wote wanaomuamini Yesu wamefanikiwa, pia sio watu wote wanaoamini shetani wamefanikiwa, pia sio wote wanaoabudu mizimu wamefanikiwa na sio watu wote wasioabudu chochote wamefanikiwa na hawa watu ndio nyie mnavurugana na kupingana kwasababu kila mtu ana matokeo yake kwa kile...
Namba 13 inamaana kubwa sana katika ulimwengu wa roho na wanaoabudu shetani hiyo namba haiwataki kabisa.. sio ndege tuu chochote ambacho kitakua na namba 13 hawatakigusa hata gorofa ya 13 wao kwao ni mwiko hata iwe ni treni behewa namba 13 hawatakubali kupanda..
Iko hivi Yesu alikua na wanafunzi...
Swali lako la3 ukiwa kwenye ulimwengu wa roho unafika kokote unapotaka kufika saa hiyohiyo maana ulimwengu wa roho hauna muda kama ulimwengu wa mwili ila utakapoenda na kurudi hamna atakae kuamini maana utakao waeleza wako ulimwengu wa mwili na sheria za ulimwengu wa roho na wa Mwili ni tofauti..
Kwanza kabisa kuna Ulimwengu mbili wa Roho na wa Mwili
Ulimwengu wa roho ni Ulimwengu usionekana ..
Ulimwengu wa mwili ni ulimwengu unaoonekana.
Ulimwengu wa Roho kwa namna nyingine ni Ulimwengu wa GIZA na Ulimwengu wa mwili kwa namna nyingine ni Ulimwengu wa NURU
Tuuzungumzie huu wa Roho...
Nimependa mada ila hujaenda deep sana au mada inaendelea....
Umeongelea uumbaji from bible watu wanaelewa bibilia sio kitabu cha mwilini ni cha rohoni? Japo tunakisoma katika mwili lakini 80% ya bibilia ni rohoni kwahiyo imewachanganya watu wengi kwasababu wanaisoma mwilini na kuitafsiri...
Mwanadamu pia ni roho na ana uwezo mkubwa wa kumzidi shetani kama atakaa katika nafasi yake ya roho ila mwanadamu amejiangalia upande mmoja tuu ambao ni mwili hapo ndio udhaifu ulipo... kwenye hii dunia ili upate access ya kuishi na kutawala ni lazima uwe na mwili sasa shetani hana mwili kwahiyo...
Hakuna vita kati ya Mungu na shetani bali ni shetani na mwanadamu.. shetani na Mungu wanaongea vizuri tuu... ila mwanadamu na shetani ndio vita ipo uadui uliopo ni mwanadamu kuumbwa amemzidi shetani... mwanadamu ni Roho mwili na nafsi na anayo quality ya Mungu.. shetani ni roho tuu hajaumbiwa...
Uwepo wa Shetani haumpi haki mwanadamu kutenda dhambi na kuonekana hana hatia hichi ndio kitu Mungu hawezi kumvumilia mwanadamu.. ukimkosea Mungu tubu achana na issue za Shetani na ndio agano la kale liliposimamia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.