Wakuu,
Hii nimeipata muda huu kutoka Dodoma.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
DODOMA TANZANIA
06/06/2018
Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Wazazi Abdalah Bulembo amesema taarifa iliyoripotiwa na moja ya magazeti hapa nchini kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim...
Kumekuwa na mjadala baada ya Kamati iliyoundwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa kuhakiki mali za chama.
Mara baada ya kamati hiyo kuwasilisha ripoti yake mtu mmoja aliandika taarifa za kumhusisha Dk.Mwakyembe kwamba anahusika katika ufujaji wa mali za chama.
Kimsingi taarifa hizo ni za upotoshaji...
JK amuweka kitanzini Profesa Kapuya
RAIS Jakaya Kikwete ameviagiza vyombo vya dola kuhakikisha vinamkamata mtu yeyote bila kujali cheo, atakayebainika kumbaka au kumuoa mwanafunzi wa shule...
kuna bakery 1o hapa nchini zilizosajiliwa zote zaidi ya 1ooo ni bubu ndugu yangu.endelea tu kujilia za uswahili.hakuna kitu kama hicho.mkate salama in manufacture na expire dates.
l do not thin you are sane my dear.kindly jump out of the boat and throw your dirty brain into the river. huyo sio binti ni mwanamke wa umri mkubwa tu.you people are so gullible.
kukamatwa kwa lipi wewe mbona pimbi sana ndugu yangu? Hakuna case la sivyo kama mzalendo unaruhusiwa kufungua kesi.moja,mbili, tatu there you go.njoo uchukwe nauli.
you guys are true fools Things dont work out of stupidity. How long do you want this explained my dear. The woman is a goon and for your information,she is now 21 years of age with twins. ana watoto mapacha na yeyey mwenyewe, umri wa miaka 21. kimya ama nenda ukalale.kwa nini ujinga tunaipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.