Recent content by Lollicode

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wenye Hotels na Lodges hasa mikoa hii. Mablanket yenu huwa mnafua kweli?

    Hali ya hewa hayakauki[emoji23][emoji23][emoji23]
  2. L

    JamiiForums Tanzania Bima ya afya NHIF, suala hili lina faida lakini angalieni pia changamoto zake

    Nadhani nia iliyokusudiwa sio hiyo ambayo umeifikiria, mkuu. Lengo lao ni kuhakikisha bima inatumika kwa mlengwa, ndio maana anapewa taarifa muhusika mkuu. Pia, inasaidia kujua kwa mfano mtoto amezidiwa, yupo chuoni hajakupa taarifa, then inakuwa rahisi kujua.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Gawio la Ttcl lanikosha

    Ndio,wanaangalia transactions zako kwa mwezi
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini mitandao ya simu inatoa namba zetu kwa wafanyabishara wa kamari bila ridhaa yetu?

    Sikujua hili kumbe wamesema kabsa
  5. L

    JamiiForums Tanzania 3d Plate numbers

    Jidanganye tu
  6. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta laptop Used aina ya Lenovo corei 7

    Nnayo Dell hyo.. Processor: core i7, RAM 8gb ,SSD 256gb machine ya kazi hyo nauza 650,000 tu WhatsApp/Call: 0712522226
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kuagiza toyota premio

    Wanaangalia hku
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kuagiza toyota premio

    Hizi details huwa wanachukua kwny sites mfano Website ya kununua magari inayoitwa Enhance Auto ukiingia kusoma details za gari kuna kipengele kinaonesha fuel consumption. Zile huwa ni estimation za gari ikiwa mpya,so huwa inakuwa tofaut kdg kwa sabab gari unakuta umeagza ina 80,000kms so...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nimekatwa Shillingi 70,000 na Vodacom

    Vodacom wanakata makato makubwa sana kila kona,usiombe ulipe kwa simu kutoka mtandao mwengine kuja voda
  10. L

    JamiiForums Tanzania Waislam tuachane na adhana tutumie alarm za simu zetu

    Kuna apps nying tu playstore na appstore znakukumbusha muda wa swala
  11. L

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini TANESCO wanashindwa kutoa ratiba ya mgao wa umeme?

    Ishu ni unaishi wap?? Huko Oysterbay,Masaki wanapewa taarifa kabsa.. Sisi tunaokaa mbagala unashtuka tu washakata[emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom