tunajifunza vitu viwili,ukiwa maarufu usiwe uongo,kipindi cha mkasi alisema hanywi pombe,sasa nini kimetokea,kale katoto kwenye kipindi hichohicho kalisema hakana boyfriend.unayofanya gizani mungu huyaweka mwangani.namsikitia kale kabinti kwani nikadogo sana.Kanumba mungu amempenda zaidi
Wananchiwamezuiwa kufanya shuhuli zinazowapatia kipato cha kila siku na kunyanganywavitendea kazi vyao kwa sababu za kiusalama ikiwa ni pamoja na kutopatikana kwa silahaya askari police aliyeuwawa.silaha hiyo na risasi kufananishwa na simba 60walioachiwa uraiani.
Maswalininayojiuliza
·...
niukweli lowasa amesamehewa na kanisa halimbagui,Tatizo anashida ya msingi ambayo mtu yoyote mwenye akili timamu ataelewa jamaa ni mlafi wa madaraka kupindukia.hapa ndio watanzania wengi tunajiuliza analilia madaraka ili afanye nini?atufisadi kama alivyofanya kwenye richmond au anataka kufuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.