Recent content by loiba Ng'oroyok

  1. loiba Ng'oroyok

    Hataki kabisa tutumie Condom

    Kweli Mungu anajibu maombi,ni Issa Ramadhani?
  2. loiba Ng'oroyok

    Wanaume kwanini hampendi kutoka out na wake zenu?

    Kwanza kabisa ktk tamaduni zetu binti/msichana ndio anakuaga na hizo hobby na usipomtoa out kama wenzie hata akikulaumu ni sawa,Ila MKE mwenye majukumu ya kulea na kupanga pamoja na kusimamia bajeti ya nyumbani,automatically huwa anakuwa busy na mambo ya home na hawazi sana mambo ya out.Ila huwa...
  3. loiba Ng'oroyok

    Mke wa kuoa

    Kaka mshana jr unakuwaga na points sana
  4. loiba Ng'oroyok

    Sometimes kumweka msichana friendzone kuna raha yake

    CCM wanayo mengi ya kujibu mbele za Mungu.
  5. loiba Ng'oroyok

    Msaada DStv: Kifurushi cha elfu 78 naona EPL?

    Mkuu bukoba boy si ungemjibu tu kuwa haiwezekani na umpe suluhisho?
  6. loiba Ng'oroyok

    Kwanini wasichana warembo wanawadharau sana wanaume walimu wa shule za msingi na secondary?

    Hahaha,ila kama ulimpenda kweli usingemwacha kwani angejirekebisha
  7. loiba Ng'oroyok

    Ushauri: Mke wangu ana maneno, akianza kuongea hamalizi

    Hapo hata nisingehangaika ningemwambia aamue moja: Kwenda shambani au abaki nyumbani,na Ole wake nikirudi nimkose home. Hata priority kati ya kiwanja na birthday hajui?
  8. loiba Ng'oroyok

    Aina za rangi za "pichu" za mwanamke na maana zake kwa mwanaume

    Blue = Ana maji mengi kwahiyo Apply katerero yapungue.
  9. loiba Ng'oroyok

    Aina za rangi za "pichu" za mwanamke na maana zake kwa mwanaume

    Mabibi wa makabila ya kaskazini yaani Wachaga,wameru na wamasai wanaweza kukojoa wamesimama,sanasana wakiwa shambani na ni miaka mingi wanafanya hivyo.
  10. loiba Ng'oroyok

    Aina za rangi za "pichu" za mwanamke na maana zake kwa mwanaume

    Mkuu hiyo ni nguo flan ya kimasai wanavaa wanawake na kuna namna ya kuifua,akivaa siku nzima hata umgonge kavu vipi hapati mimba.
Back
Top Bottom