Recent content by Loi Mollel

  1. L

    JamiiForums Tanzania Aliyeeiba simu yangu ameonekana CCTV

    Kama una namba ya simu ya jamaa nadhani tayari unaweza kumkamata kupigia service provider, nenda polisi wanipa kubali cha uchunguzi.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Degree ya law

    Vyuo vikuu vinatoa shahada ya miaka 4, vingine 3 ila kuna mambo ya kukariri mwaka nk. So Inategemea utakariri Mara ngapi mkuu....Law school ni angalau mwaka mmoja
  3. L

    JamiiForums Tanzania Degree ya law

    Inategemea kamanda Sio Degree inayochukua muda , ni Wewe unayesoma ndo unachukua muda gani kumaliza.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    Umetoa wapi hizo takwimu, acha kudanganya
  5. L

    JamiiForums Tanzania Msimamizi wa "masters" ya Tundu Lissu ajuta!

    Basi kama anajuta na hamtambui lissu aende kukata rufaa lissu arudishwe darasani, ajijutie yeye kwa kutamka haya.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Serikali 2 imeshidikana miaka mingapi sasa, kwanini watanzania tunaogopa mabadiliko ? Mfumo wa shirikisho wa serikali 3 ndio mwafaka.
Back
Top Bottom