bila data ni vigumu kuafikiana na hilo, inawezekana pia hio ndio kati ya hospitali inayopata wagonjwa wengi hivo basi wanaopona vile vile ni wengi zaidi.
Sijui ni mimi tu ila nahisi anayoyafanya prof Lipumba na Dr Slaa ni kitu planned ndani ya UKAWA, some rescue mechanism if plan Lowasa ikianza tetereka( a certain come back strategy). Something tells me wote hao wanajua exactly what wanafanya na hakuna mpasuko wowote, ni a joint plan. Prof...
umakini wako mkuu umeni impress na kunichekesha at the same time
...you also don't know that between number nine (9) and number seven (7), there is number eight (8). Next time remember that, illiterate kenyan..
umeandika hoja zako vizuri sana lakini umekosea sehemu moja tu...ku discredit mwanamke kwenye mambo ya msingi, kwamba mke asishirikishwe kwenye mambo yanayohusu chama,umeonesha upeo mdogo na mfumo dume ambao tunaupiga vita sana. Hilo tu limekuangusha otherwise you have got a very analytical thread
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.