Recent content by login jay

  1. login jay

    JamiiForums Tanzania Namba ya kadi yako wakati wa kupiga kura

    Habarini wanajamvi. Bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye mada husika. Jana tarehe 28.10.2020 wakati wa upigaji kura tulishuhudia namba zetu za vitambulisho zikiandikwa kwenye karatasi za kupigia kura wakati za kupiga kura na wengi wetu hatukuelewa kwanini. Basi unachotakiwa kujua ni...
  2. login jay

    JamiiForums Tanzania Gari latelekezwa kwa zaidi ya miezi 6 katikati ya Ruaha-Mbuyuni-M tandika-A/B

    Ndug, jamii ya jf imekufunza kweli kweli leo, umejibiwa ipasavyo. Wakati mwingine jitahid kupunguza level ya kiherehere kichwani. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. login jay

    JamiiForums Tanzania Etihad Airways yasitisha kutoa huduma ya usafiri Tanzania

    Mkuu nimesoma comment yako muda huu nakunywa chai nimecheka mpaka imemwagika daaaaaa if iishi milelee
  4. login jay

    JamiiForums Tanzania Hivi hii kozi ya urban and regional planning ndio ikoje?

    So ghorofa tu... Haruhusiwi ku-design nyumba yoyote ile kabisa.
  5. login jay

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania mnakabiliana vipi na ' Wasambaza UKIMWI ' kwa makusudi nchini?

    Mimi nafikiri wale wanaoambukizwa ni vema waji-organize hata km ni wawili ili wamshtaki muhusika.(MF.wadada wawili wanaoamini wameambukizwa na mtu mmoja) Muambukizwaji mmoja pekee kushitaki na kushinda ni ngumu hasa kwenye kujua\kung'amua nani kamuambukiza mwenzie I.e kat ya mwanaume na...
  6. login jay

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

    Baada ya safari kuelekea sehemu ambayo sikuitambua, tulifika sehemu husika na nilitambulishwa kwao laivu baada ya kufika hapo. Moyo wangu ulijaa maumivu sana, nilitokwa na machozi, jasho lilinitoka na Katu sikuamini kwamba nimebaki peke yangu na watu ambao sijawahi kuonana nao katika maisha...
  7. login jay

    JamiiForums Tanzania TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  8. login jay

    JamiiForums Tanzania Shuhudia Mwenyewe: Ukishamaliza kumuogopa Mungu iogope hii kitu inaitwa sayansi na teknolojia

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Back
Top Bottom