Recent content by lnxMagoto

  1. L

    JamiiForums Tanzania Maji maji katika uke au uume

    Dare to open
  2. L

    JamiiForums Tanzania Siloam Ministry International Mbezi Beach

    Siha, sio Machame!
  3. L

    JamiiForums Tanzania Bado hujaoa? Fanya haya mapema, kuepuka kupandwa kichwani na 'mamsap' wako

    Ungeweza kuwa nakinga ya kifo ingekuwa pouwa, ila kama huna subiri kwanza!
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake ni wahudhuriaji wazuri kanisani kuliko wanaume?

    Wanawake ni walezi, hivyo mahala popote panapohusiana na ulezi tegemea kumkuta wanawake, ila usimamizi tegemea kukuta wanaume
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere alifanya kosa kujiunga na TAA, angebaki na TAWA yake itupe UHURU

    Ila FaizaFoxy, uko nje ya mada ilio ubaoni! Je JK Nyerere alifanya makosa kuhama TAWA kwenda TAA? ama CCM inaishi kwa idiology ya TANU ama TAA?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere alifanya kosa kujiunga na TAA, angebaki na TAWA yake itupe UHURU

    Nilimaanisha Uhusiano wa mada hizi Mbili "Mwalimu alifanya makosa kujiunga na TAA" vs "Undugu wa mtoa mada na familia ya nyerere" ndio nataka nijuvywe
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere alifanya kosa kujiunga na TAA, angebaki na TAWA yake itupe UHURU

    Sasa, inahusiano wowote na AA, TAA, TAWA, TANU? Tafadhali fafanua uhusiano wa mada na undugu wake kwa Mwalimu (JK Nyerere)
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere alifanya kosa kujiunga na TAA, angebaki na TAWA yake itupe UHURU

    Hapa ndio utajua unasema na 'vijana' (wanahofia kazi zao) ama 'wazee' (wasio na lakupoteza), ila Mwl. alishasema, shikamana sana na 'wazee' 'vijana' wanahofia vikazi-kazi vyao
  9. L

    JamiiForums Tanzania Machozi ni Dawa

    Inasaidia kutoa sumu ya hasira mwilini! Usipolia wakati unahasira, mwili hutengeneza sumu ambayo huleta depression! Ndio mana wanaume wanakufa mapema zaidi kwakuwa hawalii, na inapotokea wanajisikia kulia hujizuia, mwishowe ni death!
  10. L

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba anaishi kwa mlo wa CCM kwanini anaishambulia Serikali

    Duh, jamaaa! Hutaki hata kuambiwa kuwa kageuza kandambili mpaka majirani wakwambie? Sio undugu wadamu huu jamaangu!
Back
Top Bottom