Recent content by lnox menel

  1. lnox menel

    Nahitaji matanki ya maji ya kukodisha

    Kama kichwa cha habari kinavyosema kama unatanki limekaa alifanyi kazi naitaji matanki kwanzia 2000lita mpaka 10000lita ni kwajili yakuifadhi maji. Na vizuri uwe Morogoro mjini kuhusu gharama na malipo ni kwa mwezi au miezi miwili miwili uje na bei yako. Kwa mawasiliano 0621 507 835 Nipigie au...
  2. lnox menel

    Wataalam wa Forex naweza kuendelea au niache

    Kuandika nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. lnox menel

    Wataalam wa Forex naweza kuendelea au niache

    Jaribu kupitia youtube maelezo yapo fresh Sent using Jamii Forums mobile app
  4. lnox menel

    Wataalam wa Forex naweza kuendelea au niache

    Hellow mm bado najifunza in this forex business ila ningependa kuchangia kitu ikipendeza unaweza tumia au unaweza ongezewa kitu au unaweza punguza kitu by fact kwenye comment chini ya hii comment Watu wengi atuelewi nini mana ya risk and money mangment A.90% of traders awajui pips value kama...
  5. lnox menel

    Mnachokitafuta kwenye forex mtakipata endeleeni

    Mm ndo kasheboofx nitafute tena 0758022953 samahani kama sikukujubu mpaka leo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. lnox menel

    Kipi bora kati ya kusoma A-level na kwenda college?

    Usiende sehemu kwa msukumo kunasabu za watu kwenda A level na Kuna sababu za kwenda college kote kuna ugumu A level ni rahisi kupoteza ndoto ya kusomea unacho ukitaka na college Ni rahisi kujikuta unaishia level ya diploma kirahisi kabisa. Hata hivyo ukizingua six unarudi colleg kwangu...
  7. lnox menel

    Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Habari za mchana wadau, Ningependa kujua naitaji kupata vibali vingapi na gharama zake zikoje na wapi naweza kuvi kupata. Ili niweze kufanya usafirishaji wa samaki na dagaa ndani ya nchi.
  8. lnox menel

    Tujuane ambao bado hatujaacha Forex

    Vyote ni vizuri ila kutrade manual ni kuzuri zaidi maana naamini akuna kitu smart zaidi ya binadamu nimeshaona on a marobot mengi aya naga kitu cha stop loss yana close trade manually ambako kuna kitu kinaitwa slippage kipindi cha market crush maroboti kama haya uchoma mitaji yote kabla alija...
  9. lnox menel

    Tujuane ambao bado hatujaacha Forex

    Ukisoma kitabu nimuongozo mzuri ila unaitaji mazoezi kwa asilimia 70% akikisha unacho kisoma unakifanyia mazoezi na kama ukiona akilipi ki modify mpaka kianze kukulipa kwa 60% -80% kwavile mambo ubadilika maana sijaona 100% wining strategy mpaka leo Sio uwongo izi data uwangaliwa kwa kila...
  10. lnox menel

    Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

    Kwangu mm nafahamu forex unaweza ñicheki nikupe mwanga kidogo +255758022953
  11. lnox menel

    Uhitaji wa shamba Morogoro?

    Kwa anaye fahamu sehumu ambapo shamba linauzwa kwa Morogoro pawe rahisi kufikika na bei iwe nafuu anijuze 0758022953 Sent using Jamii Forums mobile app
  12. lnox menel

    Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

    majina ya diploma yanatoka lini Sent using Jamii Forums mobile app
  13. lnox menel

    Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    [Cc] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. lnox menel

    Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    Cc[ Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom