Recent content by lm317

  1. lm317

    JamiiForums Tanzania Kampeni UKAWA: Mnyonge Mnyongeni!, TBC, Inastahili Pongezi!, Jana Imefanya Kazi Nzuri Iliyotukuka!

    Mi mwenzenu hii TBC huwa siiangalii! Nikijaribu tu najisikia kichefuchefu cha hali ya juu sijui kwanini asee Labda sababu ya hiki kipindupindu kinachoendelea
  2. lm317

    JamiiForums Tanzania A Program Note: Tutaweka Hoja Zetu Wazi

    Nimeamini kweli CCM kiboko! Wameshindwa kumnunua Dr Slaa lakini wameweza kukinunua chama kizima na kuweka mgombea wao!!! Mkakati wao bab kubwa da! Sijui nimuamini nani tena kwa kweli
  3. lm317

    JamiiForums Tanzania Mfumo Tatanishi: Ujasiri Wa Lowassa, Ukiritimba Wa Kisiasa, na Mkakati Wa UKAWA

    Ilikuwa tamu, ndefu lakini sijachoka kuisoma! Nitaisoma tena na tena! Andiko zuri
  4. lm317

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya hii haiko sawa

    Wewe ni kama huyo nywele nyeusi, hajaelewa mwenzake anamaana gani na hilo dole la kati! Dole lake kajielekezea! Mwenzake kaelekeza kunakotakiwa
  5. lm317

    JamiiForums Tanzania Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) yaahirisha kura ya maoni

    Umesema point kuu. Ila sio kwa mlango wa nyuma! Ametangaza kwa mlango wa mbele kabisa tena kwa kurudiarudia! Si mnajua tume sio huru!
  6. lm317

    JamiiForums Tanzania Maswali kumi kwa Edward Lowassa na Wafuasi wake

    Nimepania niusome uchambuzi wako na kuanza kuusoma. Nilipofika sehemu unasema "Waziri mkuu mstaafu" nikaacha! Kumbe wewe mleta uzi ni wale wale!
  7. lm317

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Jamhuri ya Korea kutoa fedha ya ujenzi wa daraja jipya la Salenda

    Niambieni wadau! Kwenye mamiradi makubwa kama haya CHA JUU huwaga ni shing ngapi?
  8. lm317

    JamiiForums Tanzania OFM yamshughulikia Waziri wa Kikwete ndugu Majaliwa Kassim Majaliwa

    Sio lazima uwe waziri kuwat mba! Hawa wapo tu Dar njoo ujimegee kwa raha zako
  9. lm317

    JamiiForums Tanzania Mwakiembe uwanja wa ndege umekuponza

    Hayo hayo angeandika, yanaendana pia
  10. lm317

    JamiiForums Tanzania Makamba: Enzi za ushindi wa kishindo CCM zimepita

    Amesema vyema. Amekosea kwenye asilimia tu, ni 25%,30%,au 35%
  11. lm317

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la "ESCROW" CCM mmeonesha ukomavu kutoka shingoni kwenda chini na siyo juu

    Sahihi kila ulilosema na mziki wa Escrow mtamu sana tutauimba zaidi
  12. lm317

    JamiiForums Tanzania Mbowe kugombea urais 2015. Mwaka 2010 Silaa alikuwa anamfagilia njia Mbowe kugombea urais 2015.

    Wanafanana! Wa kwangu nitambadirisha kidogo
  13. lm317

    JamiiForums Tanzania Hii ya Pinda sasa ni Kufuru: Akaunti ya Nyau yafikishwa zaidi ya Billioni 10

    Mimi kwa kweli nimemuamini asilimia mia kwa mia.Kukataa kama hivi ni kawaida yenu tumewazoea
  14. lm317

    JamiiForums Tanzania Rais aweza kuwa mwizi?

    Da! Aliyeturoga noma!
  15. lm317

    JamiiForums Tanzania Mbowe kugombea urais 2015. Mwaka 2010 Silaa alikuwa anamfagilia njia Mbowe kugombea urais 2015.

    Da! Kumbe ndo wewe Chabruma! nilifikiri wanakusingizia tu
Back
Top Bottom