Recent content by lizyisaac

  1. lizyisaac

    Naomba uzoefu kuhusu Honda Fit

    naipongeza SANA jamii forum.kupitia mijadala ya biashara,nilipata wazo la mrad wa kufanya.kwa sasa ninaendelea nao VIZURI SANA!!asanteni wote tunaoijenga forum. hii!!.Mungu azid kutupatia maarifa hapa!!
  2. lizyisaac

    Naomba uzoefu kuhusu Honda Fit

    uzi mzuri kweli!!nimejifunza pakubwa!!maana nami nahitaj hondafit!!asanten wachangiaji!!
  3. lizyisaac

    Kwa nini gari za Honda ni cheap sana?

    ulinunua mwaka gani mr django?maana nami nahitaj honda fit?
  4. lizyisaac

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    asante sana.natumai kuna wanaomiliki gar hili.watupe uzoefu zaid.
  5. lizyisaac

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    vipi honda fit sifa yake kwa ujumla
  6. lizyisaac

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    vipuri vipuri vinachangamoto zipi?nijuze na ubora kaka mshana
  7. lizyisaac

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    huu uzi una manufaa sana.nataka kununua honda fit.naomben ushaur juu ya ubora na changamoto zake.asanteni
  8. lizyisaac

    Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    ni biashara nzuri.mimi ninafanya mwaka wa tatu sasa.uwe sehemu yenyewateja wengi na uwe na mtaji wa kutosha na iwe ni biashara iliyo ndani ya duka la vitu vinngine.inachangamsha sana biashara ya bidhaa zingine.hasa vitu vya rejareja.
  9. lizyisaac

    Biashara ya kujenga na kuuza nyumba

    Mimi ninataka kuanza mradi wa kujenga na kuuza nyumba (ambazo zinakuwa zimefika hatua ya lenter) nipo Dodoma hivyo mradi huu natarajia kuufanya hapa Dodoma. Naomba elimu, ushauri, uzoefu n.k utakaonisaidia kupata elimu nini cha kufanya ili kuanza. Asanteni
  10. lizyisaac

    Ushauri: Biashara ya kujenga na kuuza nyumba Tanzania!!!

    nami nipo mbioni kuifanya.usiogope kaka.kila kitu kinahitaj utafit.so endelea kutafit vitu gani muhimu kukusaidia kuanza na kufanikiwa
Back
Top Bottom