Recent content by lizon

  1. L

    We chose you, we believed in you, we trusted you. Please walk the talk

    To you Mr.President Its one year now since General Election.The election that put you in power. Mr.president remember you were not contesting alone.You were contesting with some other candidates who had also strong and visionary manifesto.The candidates who were popular and acceptable to the...
  2. L

    Ushauri: Familia ya rafiki yangu imenichukia ghafla kisa niliwashawishi wampigie kura Rais Magufuli

    Heshima kwenu wanabodi, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mwaka Jana kipindi cha uchaguzi niliwashawishi watu wengi pamoja na familia ya rafiki yangu wampigie kura rais Magufuli. Niliwaambia kuwa yeye ndiye mtu bora anayestahili kuwa rais wa Tanzania. Niliwakumbusha utendaji...
  3. L

    Ukweli mchungu: Tatizo la ajira nchini kupunguza wafuasi wengi CCM hasa vijana

    Heshima kwenu wakuu. Swala la ajira limekuwa ni ajenda kubwa saana katika chaguzi nyingi duniani.Vyama vingi vimekuwa vikijipatia ushindi kwenye chaguzi mbalimbali Mara tu vinapoahidi kupambana na tatizo la ajira. Vijana wengi wamekuwa wakiunga mkono vyama mbalimbali hasa vile vinavyoahidi...
  4. L

    I wish i was the President

    Mbona kikwete yeye alijaribu kuajiri kila mwaka
  5. L

    I wish i was the President

    Honestly speaking I would....!!comrade
  6. L

    I wish i was the President

    Fuatilia threads zangu uone ninavyomsupport magufuli.me cna chama chochote.atoe ajira kwa watu.
  7. L

    I wish i was the President

    Nani kasema muedit..? Naomba mrudishe Kama ilivyokuwa...hiyo no conditional...pliiz moderators
  8. L

    I wish i was the President

    Iwould first struggle to give employment to the sons and daughters of the poor. I would first remember how parents of the graduate struggled to educate their son's and daughters. How sometimes they had to sleep hungry in order to pay school fees. How they had to sell their land for their sons...
  9. L

    I want to talk to the President

    I want to tell him that,despite his efforts to equip schools with enough desks,chairs and tables,pupils and students at schools are not learning.They are not getting the most important thing(Education). The grade seven are starting exams tomorrow so is to the form four in November.They are...
  10. L

    Mazoezi ya jeshi La polisi Morogoro, ITV

    Kingereza kibovu kabsa umeandka mkuu..kuwa makini
  11. L

    Waliandamana, walijeruhiwa lakini chama kikawasaliti

    Heshima kwenu wakuu. Naomba niwaletee watu kadhaa walioshiriki maandamano na hata kudhurika na baadae chama chao kikawasaliti. 1.Dr.wilbroad slaa Huyu alkuwa katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA. Aliongoza harakati nyingi Za chama katka kila pembe ya...
  12. L

    Mbona maafsa utumishi wao hamjawavua vyeo ila walimu wakuu mmewavua vyeo vyao?

    Hivi walimu mnawachukuliaje? Suala la watumishi hewa mbona sijaona aliyevuliwa cheo ila walimu mmewavua vyeo vyao haraka haraka kisa wanafunzi hewa. Hizi double standard zinamaanisha nini? Kwamba mwalimu yeye ni cheap sana? Kwamba mwalimu yeye ni mnyonge saana? Mwalimu yeye hana haki? Au...
Back
Top Bottom