Recent content by Lizo mkristu

  1. Lizo mkristu

    JamiiForums Tanzania Naombeni ufafanuzi wa maswali haya maana pengine suluhisho la mgogoro wa Marekani, Israel na Irani ndo uko hapa

    Kwanza ndungu mtoa maada nakukumbusha tu kua MAREKANI NI U.S.A (UNITED STATE OF AMERCA) kiufupi apo kuna mchanganyiko wa watu wa mataifa tofauti kwaiyo kuwazibiti sio jambo jepesi lakini pia wao wanatoa fulsa ya kila mtu mwenye uwezo wa pekee kupewa utaifa na nyenzo la kutimiza uwezo wake na...
  2. Lizo mkristu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aulizwa “Utafanya nini kukabiliana na vikwazo, Tanzania ikifanya biashara na Urusi”. Yeye ajibu “Hatuna Vikwazo vyovyote”

    Kwa pale mimi namtetea mada duli kwa kuongea kiswahili maana wale viongozi pale mbele kila mt ametumia lugha mama ya taifa lake mf bwana putin alikua anajibu kwa kirusi,mchina kwa kichina na yule mwingine kwa kikazikistan na mama yetu akapiga kiswahili
  3. Lizo mkristu

    JamiiForums Tanzania Atakama WAZUNGU wana mapungufu ila Mungu atawabariki kwa kututoa WA AFRIKA weusi MAPANGONI,MSITUNI na kutugawia nguo

    Sasa tunaomba watusaidie tuweze kujitawala kwa HAKI,AMAN pia watukumbushe kua sisi watu weusi sio wanyama kwaiyo tusichukiane
  4. Lizo mkristu

    JamiiForums Tanzania Haji Manara: Unaumia uwanjani kuimbwa Wanasiasa, ulitaka aimbwe Shangazi yako?

    Alipe wa simba awatukane yanga akafanikiwa,akapewa yanga awatukane simba alifanikiwa sasa kapewa timu zooote za taifa awatukane watanzania kwa ujumla wao
  5. Lizo mkristu

    JamiiForums Tanzania ATCL Yaanza Safari za Moja kwa Moja Dar-Moscow 2026

    Kama itabeba mizigo apo sawa ila kama abilia sidhan kama kwa wiki kuna wabongo 50 wanaoena urusi
  6. Lizo mkristu

    JamiiForums Tanzania Venezuela ilikuwa imewekeza kwenye mifumo ya kiulinzi ya Iran, Urusi na China, ila USA walipita humo humo

    Ukiangalia anachopitia UKRAIN ni kwamba kaachwa aliwe rasmi na ata VENEZUELA aliachwa aliwe sasa apo IRAN nao ni mnofu wa CHINA sasa ISRAEL ijiandae kutelekezwa
  7. Lizo mkristu

    JamiiForums Tanzania Wazungu wa EU na USA ni makatili sana hapa duniani, lakini umeshawai sikia wakimbizi wakikimbilia CHINA, SAUDIA AU URUSI?

    Akuna mkimbizi wala ombaomba anaekwenda kuomba kustiliwa kimaisha asa akiwa binafsi kwenye nchi ya CHINA, URUSI WALA SAUDIA pia hata hapa Afrika kwa weusi sijawai kuona mtu akinufaika moja kwa moja toka kwa mchina, mwarabu au mrusi hata hawa wenzetu waliobahatika kuwa kwenye ndoa na hawa...
  8. Lizo mkristu

    JamiiForums Tanzania Trump asema yuko tayari kukutana ana kwa ana na kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei

    Uyo kiongoz akikubali tu ndio itakua mwisho wake maana wataanza kufuatilia kuanzia apo na ndio atalipuliwa lasmi
  9. Lizo mkristu

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mshamba toka Namtumbo. Je, ipi sababu ya kuweka vioo vya kujitazama kwenye vyoo vya umma?

    Kwenye choo changu sijaweka ma na siweki kioo na kwa mm sijawai kutumia kioo cha uma
  10. Lizo mkristu

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mshamba toka Namtumbo. Je, ipi sababu ya kuweka vioo vya kujitazama kwenye vyoo vya umma?

    Vyoo vingi vya umma kama kwenye ma bar, vyoo vya stend kubwa, sehemu za starehe na hata kwenye vyoo vya ofisi nyingi zenye mkusanyiknwa watu wengi je ipi sababu?
  11. Lizo mkristu

    JamiiForums Tanzania ‘U-Tanganyika’ na ‘U-Zanzibari’ ni itakadi inayochipua kwa kasi

    Ccm ni ndugu acha wapalulane watamalizana wenyewe
  12. Lizo mkristu

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ku-topup simu ni Biashara kichaa

    Wewe una aifoni kwaiyo wacha kulialia pesa ipo toa tu maana wenyewe mnajifanyaga mnaendaga na matoleo kila toleo mlipate
  13. Lizo mkristu

    JamiiForums Tanzania Shida inacheza Serengeti, then anasifiwa mtu huko kuwa yeye kaifikisha hapo

    Mungu anajua kwakweli maana wanasiasa walishaivamia serengeti
Back
Top Bottom