Recent content by LIWALONALIWE

  1. L

    JamiiForums Tanzania Itakuwaje Kama Nyota Itaiangukia Dunia?

    NIBIRU NI SAYARI NA SIO NYOTA
  2. L

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Serikali mwaka wa fedha 2016/2017 itatisha sana

    JERUSALEMU Hongera kwa posti nzuri haya ndio mambo ya kuongelea hapa. Ni kweli sekta ya utalii inapoteza mapato mengi sana kuna nchi zinaendeshwa kwa kutumia utalii pekeyake. Pia usisahau sekta ya UVUVI.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Joseph Haule (Profesa J) speed 200 ni utekelezaji tu

    hapo sawa
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Hakuna kikao ni kutangazwa majina vikao vilishafanyika chezea ccm ya sasa wewe
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Nitajulisha nikijulishwa
  6. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Ndio kamanda
  7. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Wanajanvi nimepewa habari za uhakika kwamba wandishi wa habari wameshaitwa na wamejaa pale makao makuu ya ccm dodoma tayari kwa kajina 5 wa wagombea kutajwa.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Serikali, Wenye Hisa za NICOL ndio wameliwa au...?

    Hawa mabwana kweli ni wasanii maana hata kufungua website zao hazifunguki tena
  9. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa kusababisha ukosefu mkubwa wa ajira kuanzia Julai 2015

    Nasikia eti nae anahusika na sakata la escrow. Duh
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye maduka yafunguliwa tena Dodoma

    Siku kadhaa zilizopita waziri wa fedha alifunga maduka kadhaa mjini Dodoma,Lakini baada ya wafanyabiashara hao kuwasiliana na viongozi wa umoja wa wafanyabiashara wa mkoa viongozi hao waliwasiliana na TRA na maduka yakafunguliwa siku ya pili yake bila kuwa na vifaa vya EFD. Hii inamaanisha nini..?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

    Zito mwenyewe anagorofa kule dodoma mbona hakulitaja kwenye orodha yake.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

    Nani sio kibaka
  13. L

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa special thread

    intimidation ndio nini
  14. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

    Anazungumzia CCM NA ACT sio vyomba vya usalama hakuna anayehatarisha usalama wa nchi hapa.
Back
Top Bottom