Jeshi la Polisi peke yake kuwapata wauaji itachukua muda mrefu. Bali iwapo wananchi wataamua kufunguka na kutoa majibu ya tatizo hili, ni wazi kuwa watuhumiwa wote watakamatwa. Tuwape ushirikiano jeshi la polisi.
Rais alishamaliza kazi. Watanzania hatuhitaji hoja ya sahihi iliyofichwa. Je, hizo mashine za kugundua sahihi hiyoo ilipo ipo wapi? Au ndio mwanzo wa kutengeneza dili lingine la kula hela ya wananchi kwamba sasa yafaa kufunga mashine za kugundua sahihi. Hapana, imetosha.
Binafsi sioni hekima yoyote iliyojificha kwenye kumtaka Rais atangaze mshahara wake. Viwango vya mshahara alivikuta na vimekubaliwa kwenye Bunge hivyo hata upunguzaji wake ni lazima ufuate taratibu zake. Je, kutangaza mshahara wake kunapunguza au kuongeza nini kwenye utendaji wake ambao sisi...
Jengeni tabia ya kuwa wavumilivu wakati serikali inatekeleza majukumu yake. Hoja ya kwamba kwa nini haishughulikii suala la twiga hai pale ushahidi utakapokamilika utalisikia. Lakini haiwezekani leo serikali iache kushughulikia matukio yenye ushahidi wa wazi eti kwa kuogopa kuwa huko nyuma kuna...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.