Recent content by livewise1

  1. livewise1

    Katika kulea, Kila jinsia ina nafasi yake.

    Salaam. Kwenye kulea mara nyingi Kila jinsia ina nafasi yake mahususi kwa watoto. Mtoto wa kike analeleka vyema kwa mama na kidume kinaleleka vizuri mno kwa baba. Katika kasi hii inayoendelea na kuongezeka mahusiano au ndoa kuharibika na kupelekea kutengana, ni vyema watoto wa kike wakaenda...
  2. livewise1

    Hata akichepuka mimi sijali

    Salaam JF, Nimechukua muda wa kama miezi 3 tu kujua hii kauli inayotolewa na wanawake kwamba "HATA JAMAA AKICHEAT NI YEYE KIKUBWA ANANIPENDA NA KUNIHUDUMIA" kuwa ni ya kimkakati. Mwanamke anaesema hii kauli ni wa kuchungwa haswa yule anaeweza kumwambia bwana ake uso kwa uso..." BABE HATA...
  3. livewise1

    Steve Harvey hakuelewa somo la Hakimi

    Waongo, time will tell.
  4. livewise1

    Steve Harvey hakuelewa somo la Hakimi

    Alikuwa mshauri wa mahusiano ya watu na kuponda wanaume kwamba hawajui kuwa-handle wanawake wao. Amesafiri na mkewe sehemu kibao, mapikiniki na mavisiwa huku akiweka caption za kuonesha mahaba mengi kwa bidada. Yamemkuta leo, amegongewa & maokoto anaporwa. Anatafuta mshauri sasa! Fear women of...
  5. livewise1

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kimasihara loading, hawa mashemeji hawa ..haya ngoja nimsubiri ameendea olive oil.
  6. livewise1

    Wacha aniite vyovyote vile lakini atajifunza kitu kwa hili tukio la leo

    Ana pesa ya kulipa bill ukiona hivo Wala hatadhalilika maana kunae mafisi watamlipia kama hana na ataenda kupatiwa raha yake aliyoikosa kwako! Japo hana akili nzuri kwa kushindwa kukusoma kuwa hufagilii pigo zake kitambo tu. Otherwise,hongera kwa kuwa gentleman ukamlipia nyama.
  7. livewise1

    Mwanaume utakubali!?

    Jibu lako au ushauri wako ni nini!?
  8. livewise1

    Mwanaume utakubali!?

    Wa salaam JF Una watoto watatu umri wao juu ya miaka 15. Ukasikia mkeo akisema kuwaambia watoto hana uhakika kama baba ni wewe au sio wewe!! Maneno yakafika kwa ndugu na wazee wa pande zote mbili! Likaja shinikizo la kupima DNA, utakubali kupima!? Au bora ndoa ife tu!? (Kupima DNA ni njia ya...
  9. livewise1

    Damdam marathon [emoji125]

    Hapana mkuu. Nilienda kwa ajili ya marathon [emoji125] mengineyo sikuwa najua yapo ndio yakanishangaza. Nimepata experience mkuu.
  10. livewise1

    Damdam marathon [emoji125]

    Who is she?
  11. livewise1

    Damdam marathon [emoji125]

    Mkuu mbona zimepostiwa na clauz wenyewe zipo kibao.
  12. livewise1

    Damdam marathon [emoji125]

    Mbona ametoq experience yake fresh nimempata vizuri.
  13. livewise1

    Damdam marathon [emoji125]

    Ahsante mkongwe wa marathon [emoji125].
Back
Top Bottom