Recent content by live on

  1. live on

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa DARTS Hali ni mbaya hivi haiwezekani kuwa na kampuni 2 zinazotoa hiyo huduma

    Huo mfano tu broo zinaweza pia zikawa Red na white
  2. live on

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa DARTS Hali ni mbaya hivi haiwezekani kuwa na kampuni 2 zinazotoa hiyo huduma

    Ngoja niende kwenye mada Moja Kwa Moja Mimi nadhani inawezekana kuwa na kampuni 2 tofauti zinazotoa huduma ya usafiri wa mabasi ya mwendokasi 1) Kila kampuni inakuwa na rangi yake ya mabasi yake kwamfano Kampuni Moja mabasi yake ni ya kijani Kampuni ya pili mabasi yake ni Njano 2) Kampuni...
  3. live on

    JamiiForums Tanzania TANESCO wameturudisha nyuma miaka 10 umeme kukatika mara 5 Kwa siku

    Haya mambo tulisha yasahau Baada ya Magufuli kuingia madarakani alikomesha kabisa haya mambo Kama umeme ulikatika basi ni Kwa sababu za msingi na taarifa ilitokewa Lakini hili linaloendelea Kwa Sasa umeme kukatika mara 5 Kila siku bila ya sababu zozote za msingi tulisha yasahau haya Kama ni...
  4. live on

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke mwenye miaka 30+ asiolewe?

    Kama haujui 30ys mwanamke ndio anakuwa mtamu balaa
  5. live on

    JamiiForums Tanzania Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

    Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli. Kila la kheri huko uendako uzuri wa uislam hamlazimishi mtu kuwa Muislam Kwanza unaonekana uislam wenyewe haujui Haujui lipi limesemwa na Mungu Haujui lipi...
  6. live on

    JamiiForums Tanzania Nimpeleke mtoto shule ya milioni 1.5 au hela nimuwekezee UTT au hisa?

    Kwahiyo ada Kila muhula utakuwa unalipa 375000 Mwache mtoto asome hapo hiyo pesa hata usilipo lipa ada itaenda katika mambo mengine
  7. live on

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali ya Tanzania inalazimisha lugha ya kufundishia elimu ya awali na msingi iwe Kiswahili?

    Lazima akushangae Kwa sababu hilo neno BAOBONYE sio msamiati wa lugha ya kiswahili ila Kuna mtu alikaa Kwa kutumia akili zake akabuni hilo jina Misamiati ya lugha haibuniwi na watu ila Huwa ipo automatically tokea zamani
  8. live on

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali ya Tanzania inalazimisha lugha ya kufundishia elimu ya awali na msingi iwe Kiswahili?

    Tayari Tanzania ni watumwa wa lugha ya kingereza na ndio maana ofisi zote za serikali documents zake zipo Kwa lugha ya kingereza Alafu wewe unaonekana ni kilaza ndio hayo tunayoyasema hizo nchi ulizozitaja hapo mfumo wao wa Elimu ni Kwa lugha yao kuanzia elimu ya awali Hadi chuo kikuu Kwanini...
  9. live on

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali ya Tanzania inalazimisha lugha ya kufundishia elimu ya awali na msingi iwe Kiswahili?

    Hili swali Huwa najiuliza sana alafu sipati majibu Hivi ni kweli hawa viongozi wa serikali hawajui magumu wanayopitia watoto pale wanapoingia kidato Cha kwanza na kukuta lugha imebadirika ghafla? Hivi ni kweli hawa viongozi wa serikali hawajui umuhimu wa lugha ya kingereza ndani ya nchi yetu...
  10. live on

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaume: Mnaposema mwanamke huyu mtamu, mnamaanisha nini?

    Ni kweli kabisa dada yangu wanawake Huwa mnatofautiana sana wapo wanawake watamu sana Mimi Nina mke wa ndoa na pia nilikuwa na michepuko mingi tu ila katika michepuko yote Kuna mmoja alikuwa mtamu sana Kwanza alikuwa na figure ambayo Mimi naipena mrefu wa wastani, maji ya kunde na kamzigo ka...
  11. live on

    JamiiForums Tanzania Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Kama story za Adam na Hawa ni uongo Kwa hiyo huo uongo ndio unatuambia kuwa sisi binadamu wote chanzo chetu ni Adam na Hawa Sasa tuambia wewe mwenye story za ukweli kuhusu binadamu Binadamu wa kwanza ni nani? Wewe katika kizazi chako binadamu wa kwanza ni nani?
  12. live on

    JamiiForums Tanzania Wana-Simba tuna imani kubwa na kocha, tunaomba aendelea kuwepo Msimbazi

    Ngoja kwanza tukutane tukupigeni 5 ndio tutaona kama kweli huyo kocha mnamuamini
  13. live on

    JamiiForums Tanzania Kwenye mashindano ya Quran kwa wasichana nimeona kamari ikichezeshwa. Je, Uislamu unaruhusu kamari?

    Yawezekana unahoja ya msingi ila hajayaweka vizuri maelezo yako wengine tupo bize tulikosa mda wa kuangalia hayo mashindano Ilitakiwa ufanye Nini Ili upate hizo zawadi? Lakini pia kamari sio zawadi Au katika wadhamini na wachezesha kamari walikuwepo?
  14. live on

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemuacha mume wangu kwa ajili yake yeye hajali kanitelekezea watoto wake!

    We we sio mzima
  15. live on

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaitaka nchi ya Mongolia kumkamata Putin

    Vipi kibali Cha kumkamata Netanyau ICC bado hawajakitoa?
Back
Top Bottom