Recent content by Liston Cosmas

  1. Liston Cosmas

    Nahitaji kampuni zinazoweza kunitengenezea kreti za vinywaji kwe bei nafuu

    Habari wan JF. Kuna yeyote anayeweza kunipa connection ya kampuni yoyote inayotengeneza kreti za vinywaji hapa Tanzania?
  2. Liston Cosmas

    Natoa free hosting (kwa miezi 6) pamoja na kujenga websites na mobile apps

    Habari wadau! Kama kichwa kinavyosema, ninatoa huduma ya hosting bure kabisa kwa miezi 6 na pia kama unahitaji kua na website au mobile application (ios & android), pia utapatiwa kwa gharama nafuu sana. Napatikana kwa +255 768 55 8494.
  3. Liston Cosmas

    Mtandao wa kijamii wa wanafunzi na waalimu

    Habari wana JF. Natumaini nyinyi nyote mnaendelea vyema wakati huu wa janga la COVID-19. Kwa kujitambulisha kwanza, mimi ni kijana Mtanzania na kwasasa ninasomea Shahada ya Uhandisi wa Umeme na kompyuta (Bsc. Electrical and Computer Engineering) nchini Marekani. Hivi majuzi nimemaliza...
  4. Liston Cosmas

    Natafuta supplier wa mafuta ya nazi

    Unamaanisha elfu hamsini au shilingi hamsini? Sijakuelewa vizuri
  5. Liston Cosmas

    Natafuta supplier wa mafuta ya nazi

    Habari wadau wa JF. Natafuta suppliers wa mafuta halisi kabisa ya nazi (coconut oil). Ingekuwa vizuri kama unazalisha mwenyewe. Pia mafuta hayo lazima yawe kwenye quality ya juu kabisa na yasiwe yamechanganywa na chochote. Asante!
  6. Liston Cosmas

    Natafuta vibobo vya kutengeneza ice cream

    Nimesha ku PM boss. Nimekutumia na number zangu za WhatsApp unitumie picha pia. Nashukuru sana.
  7. Liston Cosmas

    Natafuta vibobo vya kutengeneza ice cream

    Asante sana. Hizo original zinauzwa wapi?
  8. Liston Cosmas

    Natafuta vibobo vya kutengeneza ice cream

    Asante sana. Hizo original zinauzwa wapi?
  9. Liston Cosmas

    Natafuta vibobo vya kutengeneza ice cream

    Habari wakuu. Nilikua naomba kuuliza kama kuna yeyote huku anayeuza au anayejua mahali ambapo ningeweza kupata moldi (vibobo) vya kutengeneza ice cream (barafu) nyingi. Inaweza kuwa kubwa au kufanana na picha niliyoambatanisha hapa kwenye posti. Asanteni sana.
  10. Liston Cosmas

    Nataka kusafirisha mizigo kwenda South Africa

    Mbona nimeku pm hujibu mheshimiwa
  11. Liston Cosmas

    Natafuta mayai ya kisasa kwa bei ya jumla

    Habari zenu waheshimiwa, Naomba kuuliza kama kuna yeyote anajua mahali pa uhakika ambapo nitaweza kupata mayai ya kisasa kwa bei ya jumla. Ntakua nachukua tray za kutosha. Shukran sana wakuu!
  12. Liston Cosmas

    Nataka kusafirisha mizigo kwenda South Africa

    Habari zenu waheshimiwa, Naomba msaada wakuu kama kuna yeyote angeweza nisaidia kunipa majina ya makampuni au dereva au hata tu msaada wa mawazo wa kusafirisha mzigo kwenda Afrika kusini. Nitakua nasafirisha mizigo mara kadhaa kwa mwezi. DHL sitaki kuwatumia kwasababu mzigo ni mkubwa kidogo na...
Back
Top Bottom