Inawezekana kupendwa kwa hivo.. Lakin huyo anakupenda na mkeo ndo kikwazo,, kikubwa mvumilie tu muwe marafiki hivo hivo coz we umeoa kaka tunza ndoa yako
Habarini wandugu na poleni na majukumu ya kila siku, 2014 mwishoni nlitumiwa sms ya salamu ya kawaida tu na namba ilikuwa ngeni. Nikapiga simu akapokea mdada baada ya salamu akaniuliza wewe nani nikamwambia umentumia...
Dat gud, utakuta anakwambia m nataka msomi akati ye kaishia form 2 c, akija kwako anataka akute flat wakati toka kazaliwa had umemtongoza babaake hajaweka umee kwao.. Ladie mjichunge bac kila man anataka good life but n mdogo mdogo
Wajawazito wanamambo mengi kwan shukuru mimba hamsumbu kwa maradh,, ila jipangieni ratiba ambayo itazingatia mda wa kaz n kumfanya brain yake ikontroo maamuzi kwan ratiba itamfanya ajue kesho hata iweje lazima uondoke asubui na urud mida mlopnga hapo ni kumjenga tu kisaikolojia bradaa
Hi,
Naomba niwaguse sana ladies, kwan mara nying me anapo tongoza anajua nn anafanya either anataka kukuoa au chapa ilale asepe, lakini ke anakuwa hajui kitu zaid kesha ambiwa anapendwa basi.. Amin ke unaweza kubadilisha mawazo ya me hata kama alikua hana lengo la...
Hi guyz,
Siku mpya jua jipya tabu za life zile zile hasa kwetu sisi tabaka la chini.Leo nataka jua kwanini mabinti hawasahau wapenzi wa zamani.Mfano: nilikua na mpenzi but sometimes alikua anawasiliana na jamaa yake wa zamani kupitia simu ukiuliza anakwambia simu alishika mdogo ake coz...
Hapo kikubwa ni kutizama mbele, achana na habar za kuchoma wewe fanya yako, mlango mmoja ukifunga mwingine unafunguka,, anza tu kusali, kuwa na marafiki mda mwingi ila c katika pombe, katizame mv, mpira itakusaidia kupunguza mawazo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.