Sio kweli wengine wanatafutana mie mume wangu mtu wangu yupo umu dm zake za jamii forum ni balaa wanachat wanapeana namba wameanzisha na mahusiano kabisa unakuja shtuka too late, taratibu ntawataja umu wanajijua
Apa umeongea point.wote akili hawana,mwanaume mwenye akili zake timamu angemkataza lakin na lenyew janaume linapelekwa pelekwa.sema wanaume ni watu wa kupelekwa pelekwa siku zote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.