Recent content by liquidsword

  1. L

    JamiiForums Tanzania Lukas Sankara ashinda kura za maoni Kalenga

    kuna jamaa amejiunga humu mahususi kwa ajili yako ili awaelezee wanaJF mahusiahano yako na sembe! so stay tune!!
  2. L

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    mkuu huyo mpoto walishamalizana nae mangamba uwa wakutumia only once kama ndomu,ila huyo jb kumbukumbu zangu hii zaidi mara ya 3!kuchukua kadi sasa sijui uwa anazipoteza au anapenda kadi mpya
  3. L

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    kwa kumbukumbu za huyo jb hii itakuwa mra yake ya 5! kujiunga na ccm hope itakuwa ya mwisho
  4. L

    JamiiForums Tanzania Vicent Nyerere: Ukimtumia polisi SMS ya 'tafadhali nipigie', atakujibu kwa SMS ya 'Niongezee salio'!

    aliyoyasema mh. v. nyerere yote ni kweli tupu mm niliondoka tanzania sasa ni miaka 10 iliyopita na yalishakuwepo nani asiyejua kuwa maaskari wanapewa magari ya doria yakiwa na mafuta kidogo na ni wao wanatakiwa kujiwekea mafuta na wanatakiwa wapeleke hesabu kwa mabosi wao kama wafanyavyo taxi...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mkuu NCCR Mageuzi: Huyu ndio Mpinzani wa Mbatia

    duh!! hii ni zaidi ya sanaa!
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Mbowe Wachana na Hizi Tunza Heshima Yako Jiuzulu Tu! Waachie Wengine Uongozi Imetosha!!

    hii ndio kitu ya level yake kuandika badala ya kujiingiza kwenye mambo yanayohitaji akili
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wapi serikali? Clouds tv inavunja maadili!

    haujui kuwa clouds yenyewe ndio serikali?
Back
Top Bottom