Recent content by lipwata

  1. L

    JamiiForums Tanzania Katika safari yangu, nilichokiona maeneo ya Pwani kinasikitisha

    Omba amba waliojaa Dar es salaam wanatoka pwani?na ulishasikia watu wa pwani wanashida ya chakula, kwanini watu wengi wanahama huko bara na kuja pwani?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Sheikh Noordin Kishk wa Temeke ammwagia sifa Rais Magufuli kwa kukemea utovu wa maadili!

    Shekhe kishk hana mamlaka ya kuwasemea waislam sio tu wa temeke bali hata wanaosali katika msikiti wake
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ina maana Kikwete alikuwa hana macho au na yeye alikuwa mpiga dili?

    Sawa pamoja na kushughulikia hayo unayoyaita madudu, hivi sasa ikoje hali ya uchumi na maisha ukilinganisha nakipindi hicho
  4. L

    JamiiForums Tanzania Jerusalem kwa mujibu wa BBC

    Ni muhimu kutambua kuwa Uyahudi sio ukristo na hawakubaliani kwa kila kitu ktk imani, aidha ukristu ulianzia Antiokia na siyo Uyahudini ingawa wahubiri wengi wa makanisa ya kipentekoste wanapotosha umma kwa kuhusisha ukristo na Israel
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hizi taasisi zisizo za kiserikali (NGO's), hazina adabu

    Ikiwa wewe unafurahia kusamehewa je waliofanyiwa vitendo hivyo nao watafurahia
  6. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Iran kushirikiana kupambana na Ugaidi

    Iran sio nchi ya kigaidi na wala haijawahi kufashili magaidi, nchi inayofadhili ugaidi na magaidi duniani ni USA na washirika wake, Iran ni nchi inayolengwa sana ma magaidi lakini kutokana na kuwa na ulinzi imara magaidi wanashindwa kutekeleza mipango yao. Tanzania kujifunza mbinu za kukabiiana...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mshangao: Mambo ambayo watanzania wasio wazalendo wangependa kuyasikia

    Angalia chanzo cha tatizo
Back
Top Bottom