Recent content by lino livava

  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais, Ikulu mpya wafukuze TISS warudi enzi za Nyerere kuwa acting vichaa Ili kuliponya Taifa

    Kuna kichaa alirikruti makada wa CCM na ndugu bila kufanya veting matokeo yake ndiyo haya.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mudathir Yahya ni fundi sana

    Mkataba ulikuwa umefika ukingoni.Kwa kumuona ni mchezaji wa kawaida wakamuwekea ofa kiiduchu akaamua kusepa zake.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tamisemi: Dkt. Dugange hajajiuzulu bado yuko hospitali amelazwa, puuzeni Uzushi wowote!

    Tuliambiwa kuwa amumia kidole tuu.Hivi unaweza lazwa kwa kidole tuu.?
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kikeke vs Msigwa: Je matamko ya kichochezi ya Msigwa ndio kitanzi chake!

    Mngoni.Baba yake anaishi Mbeya jirani na FFU.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda, kiokoe Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa kusimamia kauli yako

    Uko sahihi.Zamani wakati ajira hazikuwa za kupiga ramli ilikuwa wanapomaliza wale wanaohitajika kubaki kama tutorial assistant waliajiriwa.Shahada ya pili waliipata wakiwa kazini.Sasa hivi ni ngumu kuwapata kwa kuwa wahitimu wenye sifa hizo wanakuwa wamemezwa na soko huria.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Taifa stars na The Cranes watacheza mechi yao Ismailia, Misri?

    Uko sahihi.Viwanja vyai vimekosa sifa.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

    Yusuph Macho Musso na siyo Fuso.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kalusha Bwalya

    Kama sikosei Bwalya alitokea Amerika Kusini na siyo Holland (Nisahihishwe)
  9. L

    JamiiForums Tanzania TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz

    Mbowe
  10. L

    JamiiForums Tanzania Feitoto yupo sawa kisheria

    Kaka, Dortmond walikuwa wameamua kumuuza Halaand.Kama wangesema hauzwi wasingebanwana sheria yoyote.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Bila dola laki mbili 2 Feisal hatocheza Azam

    Kiasi gani analipwa ni makubaliano kati ya management yake na klabu. Tatizo siyo la klabu kwani kwenye biashara ni win win situation. Wao waliona zinatosha ndiyo maana walisaini mkataba hadi 2024. Kuhusu kununua mkataba kama klabu bado inamhitaji mchezaji inayo haki ya kukataa na kanuni...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Suala la Ihefu: Mtu mkubwa Serikalini amewekwa mfukoni?

    Mbolea ipi imeratibiwa kwa utulivu?.Watu tulianikwa juani kama dagaa tukigombea kujiandikisha Sasa hivi tunazurura na vocha mbolea hakuna.Mfano Mbeya na Songwe hakuna mbolea.Inasemekana wasambazaji hawajalipwa waliosambaza awamu ya kwanza.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ramadhan Kayoko, Leo umetupa somo muhimu kiuamuzi

    Hakuna mahali popote panapompa refa mamlaka ya kwenda kunyume na maamuzi ya marefa wasaidizi.Kama wamepatia safi na kama wamekosea unakuwa msala wao na refa hatalaumiwa.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Dr Msukuma: DC hana ubavu mbele ya DED kwa sababu ndiye anayempa Mafuta!

    Kinadharia iko hivyo.Lakini ukweli unabaki kuwa inaweza kupita miezi 3 DC hajapata OC yoyote.Na kama amepelekewa inaweza isitoshe hata kuandaa chai. Wilaya nyingi Ma DC ni wanyonge kwa ma DED.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Malkia wa Sheba(Queen of Sheba)

    Kuonyesha kwamba Sheba ni Efhiooia ya sasa miaka ya 70 kulifanyika operesheni kubwa ya kuwahamisha Wayahudi weusi(Mafalasha) na kuwaunganisha na wenzao huko Israel. Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom