Recent content by lingsadam

  1. L

    Unatabiri nini baada ya uchaguzi wa marudio Zanzibar

    MATOKEO Yenyewe, Yanaweza kuwa Hamad Rashid, wa ADC akapata kura nyingi sana (staged votes) , labda akazidiwa asilimia moja hadi tano tu na Rais anaendelea 'na muda wake wa urais' Dkt.Shein. Kisha ukarabati ukafanyika kidogo na anakuwa Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar. Ametamani sana...
  2. L

    MKUKUTA Phase I: Maoni yako

    Kwa maelezo zaidi ya kinachoendelea au kitakachoendelea kuhusu mapitio ya MKUKUTA na MKUZA (Zanzibar) kamua hapa
  3. L

    Je alichotabiri Nyerere tayari kinatokea sasa?

    Wacha na utimie huo 'unabii' wa mwalimu. Hongera zao manabii wa kuhubiri haki hata kama kuwataja wanaokalia haki za wengine kutaonekana kana kwamba ni 'hukumu'. Pia tukumbuke Nyerere alishatoa angalizo; SERIKALI DHALIMU HAIKUSANYI KODI KWA MATAJIRI. Kuliparafrezi hilo, SERIKALI ISIYOJALI...
  4. L

    Listening Audio Booth:John Malecela: Alichoongea

    Malechela, anasahau kwamba hiyo mifumo ya chama na serikali haiko imara, IMELEGEA, IMEFITINIKA.ANALIJUIA HILO. Mifumo Haiaminiki!! na ndiyo maana watu wanalumbana. kwa kuita press conference naye anaendeleza malumbano. NI UZANDIKI ULE ULE. ASIJIDANGANYE KWAMBA CCM NI IMARA KAMA ILE YA ENZI ZILE...
Back
Top Bottom