Recent content by Lingasiku

  1. L

    JamiiForums Tanzania Karibuni ACT - Tanzania

    wahuni hao
  2. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Siwezi kumjibu mtu aliyebwabwaja kuwa nakusanya watu kupata uungwaji mkono!

    Shida makamba alihama kundi sasa hesabu zmemkalia vbaya
  3. L

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu kateuliwa kueneza CHADEMA Bara au Zanzibar?

    so what?
  4. L

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Ndoto zake za urais zimejaa Fitna, Visasi na Mbeleko

    kwa kuwatukana Israeli amesha jilaan na hawezi kuwa rais
  5. L

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Ndoto zake za urais zimejaa Fitna, Visasi na Mbeleko

    Membe ameshachukua pesa za waarabu na kumbuka wakat wa harakati za kumuondoa Gadafi membe alikiwa anawatukana wazi wazi nchi za magharibi
  6. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Mbeya yapata pigo, mwenyekiti wake ahamia ACT-Tanzania

    Geoffrey sanga utaikumbumbuka chadema nakwambia
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mjuwe kiongozi wa CHADEMA nyanda za juu Kusini anayeimaliza CCM kwa kasi kubwa

    kamanda naona umeona uanze kujiachia kwenye mitandao ila siasa za huju ni ngumu
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kigwangala: Bashe alihongwa na mabwana zake hela za kuwahonga wapiga kura Igunga

    kweli ccm imekosa watu jaman kigwangala nae uraisi
  9. L

    JamiiForums Tanzania Chama cha ACT-Tanzania kutikisa mikoa 15 kwa mikutano ya hadhara

    Tatizo la ACT TANZANIA hatuwaelewi yaan nyie shida yenu ni kuiua chadema sidhan kama mtafanikiwa.nawashauri badilishen mtazamo
  10. L

    JamiiForums Tanzania Polisi wamshughulikie Mchange katika mambo haya 10...

    Jaman kwenye mdahalo ule Mchange aliziwa kwa hoja sasa ili kujiokoa ikabidi aanze kujiroposha ndo ilikuwa nafuu yake
  11. L

    JamiiForums Tanzania Steven Wassira ajikanyaga kumjibu Maalim Seif

    wasira hajawahi kujibu hoja yoyote ile
  12. L

    JamiiForums Tanzania Katibu Mwenezi wa CHADEMA Jiji la Mbeya, Lucas Mwampiki ajiuzulu

    kamanda benn huu mgogoro unatakiwa ushughurikiwe kwan hayo majbu yenu mepesi ndio yaharibu chama
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere ametukanwaje hasa?

    Hoja hapo ni kutaja hayo matusi kwani ccm mumezoea uzushi mpaka sasa muko makanisani kueneza kwamba serikali tatu jeshi litapindua nch basi bola tupinduliwe na jeshi kuliko kutawaliwa na ccm
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere ametukanwaje hasa?

    Kama hakuwa mungu ni lazma akosolewe kwan nyerere jaman aliumbwa tofauti na binadamu wengne shida yote ya muungano tunaipata ni kwasababu waasisi wa muungano hawakuwa wazi
  15. L

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 14 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    watu wengine waeenda kula posho tu kwan hakuna hata point moja kaiongea huyo mama
Back
Top Bottom