Karibuni ACT - Tanzania

Karibuni ACT - Tanzania

ACT wanakaba mpaka penati daa!! Pro-Chadema wamechanganyikiwa hawajui wafanye nini.

Teh teh teh
 
Ama kweli ACT Demokrasia imekomaa.
Hakuna mizengwe wala wagombea wa kwenye briefcase.
Haya ndiyo Majina ya wagombee wanafasi za uongozi Taifa ACT- TANZANIA.

Mwenyekiti Taifa

1. Estomiah Mallah
2. Anna Elisha Mahwira

Makamu Mwenyekiti bara
1. Shabani Mambo

Makamu Mwenyekiti Visiwani

1.Ramadhani Suleiman Ramadhani
2. Hamadi Yusuph

Kamati kuu.
1. Morghan Winston
2. Msafiri Mtemelwa
3.Mchange H Mchange
4. Peter Amos Kimaro
5. Kansa Mohamed Mbaruku
6.Deluxe R Mahyono
7. Eva Habel Kaka
8. Matokeo Sumba
9. Abdala Omar Abdala
10. Kassim Alli Hamad.
11.Ali Apcalipo Ali
12. Ali Hassan Mkali
 
Ama kweli ACT Demokrasia imekomaa.
Hakuna mizengwe wala wagombea wa kwenye briefcase.
Haya ndiyo Majina ya wagombee wanafasi za uongozi Taifa ACT- TANZANIA.

Mwenyekiti Taifa

1. Estomiah Mallah
2. Anna Elisha Mahwira

Makamu Mwenyekiti bara
1. Shabani Mambo

Makamu Mwenyekiti Visiwani

1.Ramadhani Suleiman Ramadhani
2. Hamadi Yusuph

Kamati kuu.
1. Morghan Winston
2. Msafiri Mtemelwa
3.Mchange H Mchange
4. Peter Amos Kimaro
5. Kansa Mohamed Mbaruku
6.Deluxe R Mahyono
7. Eva Habel Kaka
8. Matokeo Sumba
9. Abdala Omar Abdala
10. Kassim Alli Hamad.
11.Ali Apcalipo Ali
12. Ali Hassan Mkali
Kama si kuturudisha miaka 23 nyuma ni nini?.Leo tuaongelea uwezekano wa ngombea wa ukawa kushinda urais na viti za ubunge,udiwani wewe unataka tena tusiwe kama kundi na tushambulie adui yetu ccm?.wewe ni tapeli na unatumiwa na hao mabwana zako.
 
Back
Top Bottom