Recent content by LINCOLINMTZA

 1. LINCOLINMTZA

  Mateso yetu na Uchungu wetu ni mafunzo kwetu

  Je wafikiri ndo njia sahihi ya kutatua matatizo kama kiongozi?
 2. LINCOLINMTZA

  "Bibi Nisamehe...Najuta"

  Hivi hatuponezani baada ya kazi nzuri ya kuwaelimisha watanzania umuhimu wa Magufuli na kumpigia kura nyingi?
 3. LINCOLINMTZA

  Rais na Wabunge Waliwakampeni Pamoja Vyama Vyote (UKAWA), Viti Maalum Vyote Kwa CHADEMA Pekee Yake?

  CHADEMA inawatu wa ajabu kweli! Yule wa CCM amepewaje viti maalum? Ruth Molel amepewaje?
 4. LINCOLINMTZA

  Rais na Wabunge Waliwakampeni Pamoja Vyama Vyote (UKAWA), Viti Maalum Vyote Kwa CHADEMA Pekee Yake?

  Aliyekuwa anagombea na Julius Mtatiro naye amepewa viti maalum! Hii ni zawadi ya kumwangusha Mtatiro?
 5. LINCOLINMTZA

  Viongozi wa NCCR-Mageuzi Mwanza wajiuzulu, wasema Mbatia kauza chama kwa CHADEMA

  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/971149-rais-na-wabunge-waliwakampeni-pamoja-vyama-vyote-ukawa-viti-maalum-vyote-kwa-chadema-pekee-yake.html#post14590499
 6. LINCOLINMTZA

  Rais na Wabunge Waliwakampeni Pamoja Vyama Vyote (UKAWA), Viti Maalum Vyote Kwa CHADEMA Pekee Yake?

  Nakumbaliana na wewe Mkuu! Na huo ndo utaratibu! Kwa nini wasifanye huo mgawanyo wa ruzuku kwa vyama vyote nje ya utaratibu wa NEC? Hii iendane na ukubwa wa chama! La sivyo vyama vingime vimefanya kazi ya kanisa kuisaidia CHADEMA kupata ruzuku kumbwa, wabunge wa kuchanguliwa na kuteuliwa (viti...
 7. LINCOLINMTZA

  Rais na Wabunge Waliwakampeni Pamoja Vyama Vyote (UKAWA), Viti Maalum Vyote Kwa CHADEMA Pekee Yake?

  Nakubaliana na wewe Mkuu! Na huo ndo utaratibu! Kwa nini wasifanye huo mgawanyo wa ruzuku kwa vyama vyote nje ya utaratibu wa NEC? Hii iendane na ukubwa wa chama! La sivyo vyama vingime vimefanya kazi ya kanisa kuisaidia CHADEMA kupata ruzuku kumbwa, wabunge wa kuchanguliwa na kuteuliwa (viti...
 8. LINCOLINMTZA

  Rais na Wabunge Waliwakampeni Pamoja Vyama Vyote (UKAWA), Viti Maalum Vyote Kwa CHADEMA Pekee Yake?

  Kumuelewa mwenzio kunahitaji uelewa vile vile! Nimekwambia hapo juu kwamba wanavisaidiaje hivi vyama vingine? Kama walivyomkopa Duni kwa umakamu wa uraisi, wangekopa watu kutoka vyama vingine! Kama iliwezekana kwenye ungombea mwenza, kwa nini haiwezekani kwenye viti maalumu? Kumshikisha mtu kadi...
 9. LINCOLINMTZA

  Rais na Wabunge Waliwakampeni Pamoja Vyama Vyote (UKAWA), Viti Maalum Vyote Kwa CHADEMA Pekee Yake?

  Ndugu Wanabodi! Ninauliza mgawanyo vya viti maalum-wabunge kwa vyama vyote vinavyounda UKAWA. Nakumbuka kwamba vyama hivi vilioamua kusimamisha mgombea mmoja wa Uraisi na wabunge katika majimbo. Kwa maana hiyo, CHADEMA ndo iliyojulikana kusisimamisha mgombea uraisi aliyekuwa akiungwa mkono na...
 10. LINCOLINMTZA

  Kwanini gharama za DSTV zinapanda maradufu?

  Wenye mamlaka watueleze hili? Hiki chama cha haki za binadamu na wanaoshughulikia katiba, hawaoni kuwa tunanyimwa haki yetu ya msingi kabisa hapa kwa kubania vyombo vya kupatia taarifa. Wanasema taarifa ni haki ya mtu, sasa vipi hapa? Au wanasubiri CHADEMA na CCM ndo wakurupuke kutetea vyama na...
 11. LINCOLINMTZA

  Kwanini gharama za DSTV zinapanda maradufu?

  Naomba bei na vifurushi vyake mkuu!
 12. LINCOLINMTZA

  Kwanini gharama za DSTV zinapanda maradufu?

  Noted mkuu? Tatizo langu ni hawa DSTV! Sasa hivi wanapromosheni ya kuuza Dish, na decoder kwa Shilingi 79000. Sijui hili punguzo ndo wamelifidia kwa wateja wa zamani? Kwa nini washushe bei ya kununulia decoder na dish halafu wapandishe gharama za ulipiaji? Mimi nilikuwa najua kwamba gharama ya...
 13. LINCOLINMTZA

  Kwanini gharama za DSTV zinapanda maradufu?

  Hivi ndo mpango uliopo? Ni hujuma kwa DSTV au nini? Hebu naomba gharama za Azam na vifurushi vyao ili nipime kwani naona nitakuwa nafanyia kazi DSTV tu kwa mshahara wangu huu!
 14. LINCOLINMTZA

  Kwanini gharama za DSTV zinapanda maradufu?

  Wanabodi, Naomba kwa mwenye taarifa, kwa nini gharama za ulipiaji wa DSTV zimepanda ghafla tena kwa gharama kubwa?Kifurushi kilichokuwa 17,000 kwa sasa ni 23,500, kilichokuwa 34,000 kwa sasa ni 51,000 na kilichokuwa 56000 kwa sasa ni 84000 hadi 147000 ukiongeza Supersport 3 na 7. Tatizo ni...
 15. LINCOLINMTZA

  Ujanja na Faulo ya CHADEMA kwa vyama vingine vinavyounda UKAWA

  Wanajamvi tuliangalie hili swala bila mihemuko kwa mapana yake. Vyama vinavyounda UKAWA vilikubaliana kuweka mgombea mmoja wa uraisi na katika ngazi zingine za ubunge na udiwani. Vigezo vilikuwa vingi vilivyozingatiwa kwa chama kupewa nafasi ya kutoa mgombea. Lakini CHADEMA wametumia mwanya huu...
Top Bottom