Recent content by Limbu Nation

  1. Limbu Nation

    OUR WEBSITE

    For more knowledge about construction you can visit www.limbunation.co.tz
  2. Limbu Nation

    Ronaldo hafai kuwa GOAT

    Sisi huku tuna pambana ila kwao wamemuweka kwenye sarafu yenye thamani ya Euro 7 (The true meaning of CR7)
  3. Limbu Nation

    USIPITWE

    Mzigo tumesha utoa. Ni Ndogo tena Talk to us in this September to remember. 0621003092 Limbu Nation Builders.
  4. Limbu Nation

    Pata unacho taka (ramani au ujenzi)

    Wakati wowote ukitaka maana a wa ujenzi na ramani wasiliana nasi kwa 0621003092 We’re the Nation Of The People Limbu Nation Builders.
  5. Limbu Nation

    PATA UTAKACHO

    Wakati wowote ukitaka maana a wa ujenzi na ramani wasiliana nasi kwa 0621003092 We’re the Nation Of The People Limbu Nation Builders.
  6. Limbu Nation

    Nahitaji Msanifu majengo mwenye uwezo wa kufika site kwangu

    Mkuu umesha mpata msanifu Majengo kwajili ya site yako. Ikiwa Bado tafadhali nipigie kupitia 0621003092.
  7. Limbu Nation

    Tunatengeneza ramani za majengo mbalimbali

    Yeah unaweza kupata. Tupigie kupitia 0621003092
  8. Limbu Nation

    Ushauri kuhusu mawazo yangu kabla sijampa kazi msanifu majengo

    Awali ya yote nikupongeze na kukushukuru Kwa kuwa mjenzi mwenye akili na busara umekuwa mtu wa maana sana kwa kutoa design conceptualization ya unacho hitaji. Pili, pole sana kwa changamoto uliyo ipata na unayo ipitia kwa sasa. Nafikiri it is our time as Professionals to walk through your ideas...
  9. Limbu Nation

    Ujenzi wa ghorofa: Zipi zinafaa kati ya kokoto za ubuyu vs kokoto ngumu?

    Katika kuleta uimara wa ghorofa lako mkuu, mambo mawili ni hasa kwenye kusimamisha frame ya jengo (nguzo, beams, msingi na slabs):- 1. Matumizi sahihi ya nondo 2. Aina ya materials utakazo tumia wakati wa kuchanganya zege. Sasa Kwa kuwa unahitaji kujua aina ya kokoto, hilo ni jambo katika...
  10. Limbu Nation

    Nakata kujenga ghorofa kufika 2026

    Inawezekana sana. 0621003092 Talk to me now.
  11. Limbu Nation

    Makadirio ya tofali za uzio

    Pamoja na hoja zote zilizowtolewa na wadau, ni muhimu pia kuwa na michoro kwaajili ya uzio wako. Hivi sasa fence sio tu ni suala la kuficha vilivyo ndani bali pia ni moja ya sehemu ya urembo wa kupendezesha muonekano wa jengo lako. Na hii hufanya idadi ya matofali kuwa kubwa au ndogo. Kwa...
  12. Limbu Nation

    Nakata kujenga ghorofa kufika 2026

    Kwanza, hakikisha unapata michoro yoye kwa umoja wake, hapa namaanisha michoro ya msanifu majengo (Architectural drawings) hiyo ambayo tayari unayo, structural drawings na service drawings. Pili, ipeleke michoro hiyo kwa mkadiriaji majengo (quantity surveyor) ili upate mahitaji ya jumla ya...
  13. Limbu Nation

    Naomba ushauri kuhusu matumizi ya nondo katika ujenzi wa ghorofa

    Jambo la kwanza, uzito wa jengo haupimwi kwa macho bali kwa hesabu (na hapa utaangalia uzito wa jengo lenyewe tunauita self weight na uzito wa vitu vitakavyo kuwa ndani ya jengo). Mbili, uchaguzi wa aina gani ya nondo zitumike hutegemea na kiwango cha mzigo ulio patikana wakati wa kufanya...
  14. Limbu Nation

    Tunatengeneza ramani za majengo mbalimbali

    Ni rahisi zaidi ikiwa utahitaji ramani kutoka kwetu. Tupigie 0621003092 Kisha eleza nini unahitaji na sisi tutayageuza mawazo yako kuwa uhalisia. We’re the Nation Of The People. Limbu Nation.
  15. Limbu Nation

    Ifahamu Rebar Coupler: Teknolojia mpya ya kuunganisha nondo ukiwa site ili kupunguza matumizi ya nondo

    Rebar coupler, ni aina mpya ya uunganishaji wa nondo za nguzo (column) au nondo za beam au za retaining walls wakati wa zoezi la ufungaji wa chuma (usukaji wa nondo). Aina hii hutumiwa zaidi na wachina katika shughuli ya ujenzi. Mfano katika ujenzi wa bwawa umeme la mwalimu Nyerere (JNN)...
Back
Top Bottom