nadhani tunatakiwa kufikiria zaidi juu ya tanzania yetu ya madini kuliko ya watu binafsi, watanzania wengi tunasahau uzalendo. tutafakari kuhusu Tanzanite, dhahabu, almasi , ulanga , mabati, samaki, maji kwa nchi yetu ambayo mikataba ya zamani imetutesa sana, tumsaidia Rais wetu anayejituma...