Hivyo vitu unavyosema hafanyi ni very unnecesary wat matters ni kwamba anakupenda anakutimizia mahitaji yako......sa hivyo vingine unalalamika bure coz hata vicpokuwepo bado maisha yataendelea...
Wakati unamtongoza ulikuwa unategemea kudo kwanza au.....na hao mke na watt wako wamekujaje kama ulikuwa unajua unaweza kutumikia watu wawili kwa wakati mmoja......toa pesa coz ndo uliyiyataka!
Hahahahahahh ndo nyie nyie mnaoacha wake zenu hom rafuu halafu mkiona mwamke kapendeza barabarani mnaanza kumtamani.....wapendezesheni wake zenu hom kila cku muwaone wapya kama ulivyomuona first tym.....shopping must!
Kama alishindwa kumwambia kwamba amekutana na huyo msichana unategemea amwambie eti leo kuna demu anakuja au alikuja kulala kwangu ni lazima angefanya kicricri. Mi namshauri amwache co unaamua kua nae then unakuja kujutia baadae!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.