Recent content by Lilylove

  1. Lilylove

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeamini siwezi kuajiriwa, ushauri wenu tafadhali

    pole sana ndugu usikate tamaa huwezi jua mungu amekupangia nini kwa mimi nakushauri utafute angalau mtaji ufanye biashara yoyote kulingana na eneo ulilopo .kwenda kusom tena umri unaenda na vilevile unaweza kumaliza na ajir hamna pia.
  2. Lilylove

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mmh mbona sentensi ya mwisho haielewekii
  3. Lilylove

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoijua DUCE, Tufahamisheni Vizuri

    pale ni msuli tuu advance weka chini
  4. Lilylove

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoijua DUCE, Tufahamisheni Vizuri

    kama unachukua BSc with education utakutana na kina mbun,Dr Tano, Fatuma na Minati kwenye chemistry bila kumsahau Dr Rugeiyam kwenye hesabu.
  5. Lilylove

    JamiiForums Tanzania Wale tuliosoma advanced physics

    electronics imekaa poa sana
  6. Lilylove

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Darasa la saba kufutwa, somo la maadili laanzishwa shule za msingi

    hii elimu ya Tanzania bana kila kukicha kuna jipya
  7. Lilylove

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake msingekuwa mnajiheshimu mkaolewa mkiwa mabikra?

    sio wanawake tuu na wanaume pia nao wajitunze
Back
Top Bottom