Mimi naamini kabisa ipo siku Mwenyezi Mungu mwanzilishi wa haki, ataongea na moyo wa Mtatiro ahamie chadema. Spirit aliyonayo ni ya chademaa!! Sio kwamba CUF sio chama kizuri, ila tu kwasababu tunapigania ukombozi na chadema ndio inaelekea kuokoa jahazi..Nchi ya Tanzania sasahivi ni kama...
Tunahitaji mwl wa nursery mwenye sifa zifuatazo;
1.awe fluent in English
2. awe raia wa nchi yoyote mwenye work permit
3.awe amesomea watoto wadogo
4.awe anaweza kujituma bila kusimamiwa
5.awe mbunifu.
6.Mwanamke atapewa kipaumbele zaidi.
Piga simu namba 0719604156..
Kuna nafasi chache za matrons wa shule ya bweni iliyoko maeneo ya airport..mshahara mzuri!
Vigezo;
1.Aweze kuongea kiingereza vizuri sana.
2.Waalimu watapewa kipaumbele zaidi.
Piga namba 0719604156...
Matrons wanatakiwa kwaajili ya shule ya bweni..wawe wazoefu wa kulea watoto wadogo na wenye umri usiopungua miaka 25.. wawe fluent in English na wanaoweza kuishi shuleni isipokua siku za off tu. Walimu watapewa kipaumbele zaidi.......
Anatafutwa matron katika shule ya English medium. Pamoja na sifa nyingine, awe anajua kuzungumza kiingereza vizuri. Piga simu no 0719 604156 kwa maelezo zaidi
Shule ya Queens' Medium School iliyopo Ukonga inatafuta Secretary anayeifahamu vizuri Computer na anayefahamu vizuri kiingereza. Piga Simu kwa Lilian Wasira, Director, No. 0719 604156
Shule ya Queens' Medium School iliyopo Ukonga inatafuta Secretary anayeifahamu vizuri Computer na anayefahamu vizuri kiingereza. Piga Simu kwa Lilian Wasira, Director, No. 0719 604156
Wana JF, Asanteni sana kwa ushirikiano wenu kwa masaa haya yote sita na nusu niliokuwa pamoja nanyi, ila sina budi niwaache japo kwa "kitambo tu"; (duty calls); (my baby is awake again.) Asanteni kwa maswali, ushauri, maangalizo na hata mliponikosoa, yote ni katika kujengana. Kama kuna mtu...
Kama nilieleweka vyema, nilisema swala la muungano linaweza kujengwa na vijana zaidi kuliko wazee wetu akina Museveni, Kibaki, JK nk. Hawa hatuwaoni kama wana nia ya dhati ya muungano ndio maana nasema tukijenga umoja wa vijana wa nchi zetu tunaweza kufanya muungano ukawezekana maana sisi...
Naomba nisiwazungumzie watu ila tu Chadema ina katiba na maadili yake. Kama mtu hafuati maadili ya Chama au anatumika kukidhoofisha chama ni lazima hatua zichukuliwe. Siwazungumzii the so called "masalia" ila nazungumzia tu kwa ujumla wake maana sina facts za kutosha kuhusu wanaoitwa masalia
M23, kama nilivyosema, mimi napenda kushughulika na itikadi si watu binafsi. Hata kama akigombea mwanangu au mume wangu kupitia chama nisichokiamini sitamuunga mkono.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.