Recent content by LILIAN MK

  1. L

    JamiiForums Tanzania DUCE Family on JF - Special Thread

    shule imebana kweli du,kumbe degree c mchezo.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya kitaaluma Sekondari ya Miembe Saba yachunguzwe

    na wewe njoo ukusanye...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya kitaaluma Sekondari ya Miembe Saba yachunguzwe

    utajiju,sisi tunasonga,karibu sana graduation ya vijana wetu imekaribia
  4. L

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya kitaaluma Sekondari ya Miembe Saba yachunguzwe

    maneno ya mkosaji.........puu!
  5. L

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya kitaaluma Sekondari ya Miembe Saba yachunguzwe

    ww una chuki binafsi,pole, hiyo pia ni sehemu ya majukumu yetu tuliyokubaliana na na wazazi wenzetu ndo maana tunaishupalia, ucjali sana, hilo la kutofundisha darasan si kweli na km una uhakika njoo kwa mkuu wa shule ushtaki au nenda kwa afsa elimu.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya kitaaluma Sekondari ya Miembe Saba yachunguzwe

    dedam, Ngoja nikusaidie ndugu yangu,maana nimegundua unahitaji msaada. 1.Mwalimu HAWEZI kufaulisha bali ni utayar wa mwanafunz, hata ufundisheje km mtoto hayuko tayar hatofaulu 2.Kuhusu tuhuma zako kwa shule yetu, je una uhakika? eti tunapiga soga,mbona hyo aihusiani kabisa 3.Remedial ni...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Anaetaka kubebwa UDSM

    Nauza rum mabibo ili nipange near duce
  8. L

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya kitaaluma Sekondari ya Miembe Saba yachunguzwe

    umeona ee,yaan wanafunz wengi wana msingi mbovu.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya kitaaluma Sekondari ya Miembe Saba yachunguzwe

    Kobaba, Sasa huoni kuna waliofaulu hapo, hao ndo waliostahil,waliofeli hawakuwa na msingi mzur, SASA ULITAKA TUWAFANYIE PAPER? JIULIZE KWA NINI WENGINE WAFAULU? TUNGEKUWA HATUFUNDISHI UNGEONA DIV. TWO NA THREE HAPO,ACHA UBOYA WW,STUPID
  10. L

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya kitaaluma Sekondari ya Miembe Saba yachunguzwe

    dedam, Una uhakika? Mimi nafundisha huu shule, na kwa taarifa yako kwa shule za kata sisi tunaongza kitaaluma, angalia matokeo yetu boya ww sio unabwata tu,eti tunapiga soga, ina nhuu!
  11. L

    JamiiForums Tanzania DUCE Family on JF - Special Thread

    asante
  12. L

    JamiiForums Tanzania DUCE Family on JF - Special Thread

    Naomba unijuze yaliyojir leo duce maana cjaja,na j3 inakuaje tunaenda au ndo mapumziko
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe matukio ya kwenye kitabu cha "is it possible?"

    Jaman nimemkumbuka madam Msela FORODHANI SEC,
  14. L

    JamiiForums Tanzania DUCE Family on JF - Special Thread

    pole.sio kosa lako.
  15. L

    JamiiForums Tanzania DUCE Family on JF - Special Thread

    Asante sana,tutaonana
Back
Top Bottom